Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

W t
 
T
 


 
The group tew
 
The
 
There's no way to the
 
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya kabisa
 
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya kabisa
Sorry kama nimemaliza vibaya, ila kuna references ya nilichokiandika kwenye sentensi yangu ya mwisho, tatizo letu tunasoma biblia tu na kufikiri ndio kila kitu. tujifunze utamaduni wa kusoma. sikukusudia kumkwaza yeyote na tuendelee kusoma.
 
Dar na iringa tu,au kulikuwa na msitu kama WA mabwe pande ikawa issue kuupita
 

Mariam alienda na yesu Misri na kurudi kipindi alipokuwa mtoto mchanga
Kwa hiyo pointi yako hapo imefafanuliwa na nyakati, kipindi cha Mussa na Yesu kilikuwa tofauti hadi tekinolojia usafiri na njia zilikuwa zimeboreshwa [emoji111]️
 
Ulikua ni umati mkubwa, kuna watoto na mifugo hivyo walitembea taratibu sana na muda mwingine hawakutembea kabisa na muda mwingine walikwemba upande wa tofauti kutafuta malisho
 
Ni hadithi tu hizi za kale..
Suala jengine la kujiuliza..kule Masri pia sio kwao..kule walikua watumwa...na ndo hivo wakaokolewa na Mussa..jee kabla ya kufika Masri walikua wapi....
Hivu Yusuf aliishi wapi
Nouh naye alikua wapi
David ?
Haya mavitu yana confuse....
 
miaka ya zamani nfmi tofauti na sasa.
Mwezi mmoja wa sasa ni sawa na miaka 10 ya zamani.
so hao walitumia Miezi Minne tu kutoka Misri hadi Israel.

Hee maajabu haya ..kwa hiyo zamani mwezi ukikimnia sana ama ? Hesa za miaka ni miezi mzunguko 12 ...
Kwani muda gani ukipita baina ya Mussa na Jesus ?
Na huko Masri walikua watumwa sio kwao..sasa kabla ya kuwapo masri wali kamatiwa wapi kuja kufanya watumwa ?
 
Walikuwa wanahangaika hapo jangwani baada ya kumwacha Mungu na kuchonga sanamu na kuziabudu,,
 
Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi.

Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi.

Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.

Hii ni sawa na mita 21 kwa masaa 6(tukichukulia kua siku ilikua ni masaa 12 ya mchana pekee na usiku walikua wanalala)

Ni sawa na mita 10.5 kwa masaa 3(yani urefu wa penalti) kwa masaa 3.

Katika hali ya kawaida na katika historia watu wa kale walikua majabali(giants), ambao unbali wa mita 10.4 ni saww na hatua zake 3.

Nashindwa kuelewa, ina maana walikua wanapiga hatua moja kwa saa moja, kitu ambacho hata konokono tu atavuka huo umbali kwa saa moja.

Hizi hesabu nyie mnazielewa?
 
The same old Question among the rats

"Who will tie the cat"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…