Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Nikiwaza na kuwazua hii ya Jews kutumia 40 years kutembea toka Egypt hadi Promised Land (Israel) nashindwa kuelewa watunzi wa Bible walikuwa wanataka watu wawaamini vipi.

How does it make any sense Jews spent 40 years to reach a place only 300 miles away?

Hebu tuangalie hii issue mathematically

Kama Mussa angewaongoza Jews kutembea kilometre 30 kwa siku wangetumia siku 20 tu kufika Israel.

Sasa Jews kutumia 40 years inamaana kwa wastani walikuwa wanatembea 0.041kms pekee kwa siku.

Prophet Moses should have been labeled "lazy".......i can't find good answers to explain what was he doing there in the desert that it took so many years to reach the destination only few miles away?
 
Umeanzisha mada nzuri lakini ndio hivyo imeunganishwa kwenye uzi ambao hata haueleweki lengo lake ni nini.
Kimsingi hakuna kitu kama hicho kuwahi kutokea. Dini zinasambaza uongo uliotungwa na watu wa kale wasiokuwa na upeo wa kujua uhalisia halafu wanatumia vitisho na nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa hizo myths zilitokea kweli.

Kilimita 613 hata watoto wanaotambaa wasingetumia miaka 40......Ili uaminini kwenye dini sharti ujitoe ufahamu.
 
Hahaa dini majanga mkuu ila zimesaidia kuwapa watu ajira mashehe na wachungaji.
 
Umeanzisha mada nzuri lakini ndio hivyo imeunganishwa kwenye uzi ambao hata haueleweki lengo lake ni nini.
Kimsingi hakuna kitu kama hicho kuwahi kutokea. Dini zinasambaza uongo uliotungwa na watu wa kale wasiokuwa na upeo wa kujua uhalisia halafu wanatumia vitisho na nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa hizo myths zilitokea kweli.

Kilimita 613 hata watoto wanaotambaa wasingetumia miaka 40......Ili uaminini kwenye dini sharti ujitoe ufahamu.
Nimeona wameunganisha. Sikufahamu mada inayofanana na yangu kuhusu Jews kutumia 40 years kutoka Egypt hadi Israel ilishajadiliwa hapa JF. Lakini hii haiondoi "uwongo" wa vitabu vya dini vinavyowataka wafuasi wake wawe blind followers.
 
Hiyo ni kutokana na factors mbalimbali mungu alizowawekea ili wachelewe ,au yaweza kuwa walipitishwa njia tofauti tofauti asee siyo kwa mwendo huo
 
Majibu ni mengi
(1) kama wangekwenda moja kwa moja wangepoteza maisha hawakujua vita hata silaha hawakuzijua kumbuka israel ilikuwa na mataifa mengine ndani wasingekaribishwa pasipo kushinda vita
(2) Mungu aliwafundisha kumtegemea kwa kila jambo hawakujua kulima hata chakula kilitoka mbinguni
(3)kumbuka walikuwa zaidi ya watu laki moja sasa kuna waliokuwa wanazaa njiani hivyo wanaweka kambi,hivyo hivyo kwa mifugo yao
(4)hata njia iliwapasa kusubiri wingu na nguzo ya moto iwaongoze wakikorofishana na Mungu watakaa hapo mpaka wapatane nae.hawakujua njia ya kufika huko
 
The distance between Egypt and Israel is about 613km.But it took Moses and the Israelites 40 years to complete their journey.On average each day they walked only 43 metres,yes only 43 metres,almost half of what Usain Bolt do in 5 seconds.I just wish if Moses was around to explain this laziness.
 
Tangu wanatoka Misri waliahidiwa siku 3 lakini baada ya waisraeli kuonyesha ukaidi juu ya muumba wao, Mwenye Enzi Mungu akaamua kukiangamiza kizazi ambacho kilitoka Misri kikiwa na tabia za huko, inamaanisha watu wazima, hivyo aliwazungusha jangwani ili generation iliyo kuwa watu wazima wafe kwa uzee, walibaki wawili tu kwenye generation ya Musa ambao ni Joshua na Kaleb na new generation ndiyo walio ingia Kanani! Hata kipindi hiki Mwenye Enzi Mungu anafanya hivyo hivyo kwenye ukoo na jamii, akikuona wewe ni lethal influence kwa next generation huwa anakulipua! Ule usemi wa 'wema ndiyo wanakufa na wabaya 'wanabaki', haupo tena! Unamkera Mola anakulipua wala hakucheleweshi!
 
The distance between Egypt and Israel is about 613km.But it took Moses and the Israelites 40 years to complete their journey.On average each day they walked only 43 metres,yes only 43 metres,almost half of what Usain Bolt do in 5 seconds.I just wish if Moses was around to explain this laziness.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] laziness! Mimi naamini miaka waliyokuwa wakitumia enzi hizo si kama hii yajulian calendar. Sababu nyingine inayonifanya nisiamini calendar waliyokuwa wakitumia ni pamoja na kusema Abraham baba wa imani eti aliishi miaka mia tisa!
 
Huenda mwaka mmoja kwao ni sawa na mwezi mmoja kwetu.
 
kwa hiyo for 40 years hawakukata tamaa? Kwani kwa akili ya kawaida walitegemea kutumia muda gani? Naamini kama wangejua wangetumia miaka yote hiyo wasingeondoka wangebaki kuwa watumwa.
1. Mateso ya misri yaliwachosha kuondoka ilikua 'a must'.
2. Ahadi ya nchi ya maziwa na asali ni kigezo tosha kumtoa mtu sehemu yenye shida (utumwani).
3. Miaka 40 jangwani yaezekana haikuhesabika kama tunavohesabu sasa.
4. Miaka 40 ni tosha kufuta kizazi chochote kire.
5. Mungu wa kipindi kire alikua anaonyesha miujiza yake kwa uwazi sana (rejea alipojidhihirisha kwao walipotaka kumuona au alipowaongoza kwa kuwapa mwanga gizani ama kutenganisha maji).
6. Unakataje tamaa wakati umezoea kaa na jamii aina moja ukiaminishwa ni bora kuliko jamii zingine zozote (kivita na kiimani).
7. Mila na tamaduni za kipindi chao hazikuruhusu/kuvumilia UASI.
8. MWENYEZI MUNGU WA KIPINDI CHA AGANO LA KALE HAKUA MVUMILIVU WA MAOVU . rejea:- nyoka wa shaba, mapigo ya misri, matendo ovu wakati wa safari n.k
9. Uongozi bora wa Musa, Aruni/Aroni na Joshua.
[HASHTAG]#mtazamo wangu[/HASHTAG]
 
Kutoka israel utumwani 400 yrs
Kutoka misri back to israel 40 yrs
Kutoka watu laki sita na makumi elfu bila kuhesabu watoto na wanawake mpka kufika watu wawili tu sio mchezo..
Ufalme ulikua lazima ufike 40yrs
Na unakua mtawala kwa 40 yrs
Mvua ya kwa Nuhu ilipiga 40days
Kuoa unatakiwa lazma ufike 40yrs
Miaka 40 waliyotumia ilikua ina makusid maalum kwamba kizaz kimoja kinaondoka kije kingine.

Leo mtoto akizaliwa wanamtoa baada ya 40 days
Unaambiwa ukiwa na 40 yrs maisha ndio yanaanza rasmi
Mjane aliefiwa ana vaa ile minguo 40 days
Tanga la msiba linaisha rasmi after 40 days.. So hii 40 ilikua ina maana sana na mpka leo bado utamadun ule unaendelea ktk namba 40.. Wakichelewa kwa sababu maalum
 
Nilishawahi kusikia mahali, namba 40 na namba 7 kispiritual humaanisha "kukamilishwa kwa jambo" UKAMILIFU. Labda waliitumia mantiki hiyo. Lakini pia wasingeweza kwenda kwa siku chache hivyo.

Walihitaji hata maandalizi ya kupita mataifa ya wengine na yale ya kuliingia hilo taifa la AHADI ambalo lilikuwa na wakazi wake. Pia, ili mengine yatukie, mfano sheria mbalimbali.
 
ilikuwa ni kama adhabu kwa uasi wao na ubishi
 
Mipango ya Mungu sioya kufikiria wala kujadiliwa. yeye ndie mjuzi(mwenye kujua zaidi yetu)
 
Kutoka israel utumwani 400 yrs
Kutoka misri back to israel 40 yrs
Kutoka watu laki sita na makumi elfu bila kuhesabu watoto na wanawake mpka kufika watu wawili tu sio mchezo..
Ufalme ulikua lazima ufike 40yrs
Na unakua mtawala kwa 40 yrs
Mvua ya kwa Nuhu ilipiga 40days
Kuoa unatakiwa lazma ufike 40yrs
Miaka 40 waliyotumia ilikua ina makusid maalum kwamba kizaz kimoja kinaondoka kije kingine.

Leo mtoto akizaliwa wanamtoa baada ya 40 days
Unaambiwa ukiwa na 40 yrs maisha ndio yanaanza rasmi
Mjane aliefiwa ana vaa ile minguo 40 days
Tanga la msiba linaisha rasmi after 40 days.. So hii 40 ilikua ina maana sana na mpka leo bado utamadun ule unaendelea ktk namba 40.. Wakichelewa kwa sababu maalum
Mada kama hii (maelezo yako) niliwahi kuianzisha hapa jukwaa la intelligence miaka michache iliyopita. Ila ikahamishiwa jukwaa la dini. Wapo watu walieleza vizuri swala hili...
 
Ww unashangaa miaka 40 ya waisraeli,hushangai tz yako miaka 50 ya uhuru watu hawana huduma za afya na za kijamii?
 
Back
Top Bottom