Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji.
Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano wa maisha hupungua. Maelezo haya nimeuandika kutokana na ugumu wa upumuaji inayotokana na badiliko la mgandamizo wa hewa.
Hali hii inaonesha uwezekano mkubwa wa asili ya maisha ya viumbe hali kuwa karibu na usawa wa bahari badala ya kinyume chake.