Maji ni muunganiko wa hydrogen na oxygen tuanzie hapa kwanza tukiambatanisha na uhai! Viumbe vingi tu haviwezi kuishi kwenye maji ila vinahitaji maji! Na maji tu pekee hayatoshi!
Uhai upo complicated sana maana hautegemei kitu kimoja bali unategemea vitu lukuki Kuna chakula,Kuna hewa kuna ardhi pia n.k sidhani Kama tunapaswa kuangalia kitu kimoja linapokuja swala la uhai