Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen.
Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua akivuma sana hasa kwa waliokaa mabibo hostel alikua anataniwa kiti moto. Nadhani alikua Law yule.
Yuko wapi kwa sasa yule dada kwa wajuvi wa mambo ya mujini
Sio mbaya na mimi nikawa mbea kabla mwaka haujaisha huu.