Umbea tu: Kwa wale vijana wa 1982 (Achana na kilaza Bashite) waliopitia UDSM hasa wa mabibo hostel yule mdada alikua anaitwa kitimoto yu wapi nowdays

Hapa sijaelewa. Yaani hii ni kwa vijana waliosoma UD 82, au tuliozaliwa 82 badae tukasoma UD na kuishi hosteli za mabibo?
Mkuu hii code ya Magu akisema vijana wa 1982 anamaanisha waliozaliwa 1982. Akimaanisha pia tuna tamaa sana wazaliwa wa around hiyo miaka.
 
Hizi hostel ni zao la Benjamin William Mkapa, Hayati Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
We pimbi 1982 hapakuwepo Mabibo Hostel.
 
Kaolewa na Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…