Umbea wa karne,Le tetemekoz

kaka si jamaa anauza mashati(unga) ila salome sijui ataficha wapi uso wake hizo clips za video phone sex zikitolewa kama ni kweli jamaa alirekodi
Yaani huu ndo ubaya wa mjini, ukilala dk 1unapitwa balaa, mm nilijua mashati km haya ya tomato aiseee, bas salome ana nyota ya unga maana naskia hata mkurugenz wa singeli fm na yy ni dealer, inasemekana lkn
 
Mambo ya wanawake bhana, nasikiaga tu umbea nilikuwa sijakumbana nao. Haki ya nani nimetoka 0%, naombeni mnisamehe kwa kuingia bila hodi ngoja niendelee na safari zangu
Hahahhhh umbea wa code uo [emoji28][emoji28]
 
shoga huyo mlume simjui

napika kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ntarudi tena!
Lkn nakuhusu muna apo mbona haiji hao c maadui na apo kwenye umbea ni hamisa na shoga ake fatilia vzr bana
 
Lkn nakuhusu muna apo mbona haiji hao c maadui na apo kwenye umbea ni hamisa na shoga ake fatilia vzr bana
ndo maana mwanzo aligoma kumpeleka maana hawaelewani

mpk baadae alivyoambiwa hatakiwi anatakiwa mobeto ndo kishingo upande akamuambia

mobeto akaenda
 
View attachment 405728 HAYA SASA TUSUBIRIE HIZO CLIPS ZA HIYO VIDEO PHONE SEX,JAMANI HIZI PERUVIAN HAIR ZITAFANYA WATU HATA WALE VINYESI#Salome
Huyo milly the house gal mi ubuyu yke mibovu na inakuwaga ime expire hana ungaunga story zingine anatunga ili page yke ifanye na the shaderoom ya marekani ila hamna kitu wenzake wanafanya story zao ki makini na hawatoi habari za kutunga
 
hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…