MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Yaani huu ndo ubaya wa mjini, ukilala dk 1unapitwa balaa, mm nilijua mashati km haya ya tomato aiseee, bas salome ana nyota ya unga maana naskia hata mkurugenz wa singeli fm na yy ni dealer, inasemekana lknkaka si jamaa anauza mashati(unga) ila salome sijui ataficha wapi uso wake hizo clips za video phone sex zikitolewa kama ni kweli jamaa alirekodi