Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Mi mwenyew uwa sinaga timu yeyote,

Ila naamin kwenye kitu inaitwa self defense, ukipgwa na wewe piga mwenzio hadi ashindwe kuinuka

Nadhan huyo alo msema mwenzie alikuwa ana ji defend tu
Nimemuelewa, ndo maana nikasema kuna watu huwa wanaboa, but tuangalie tusiishie kukufuru Mungu
 
Alibeba sana ngada na kuna Ivan na pia hana tofauti na ma ubaya coz wote ni mama huruma a.k.a expensive sluts ila Zari kwa kazi ingine ni baby factory na anaishi kwa nguvu ya child support
Ngoja timu yake ikusikie....wenyewe wanavyomuabudu na kumuona milionea...... wakati hata nyumba anayoisho sasa ni ya kawaida
 
TEHETEHE PUNGUZA JAZBA...... HUJASKIA STORY YA UPANDE WA PILI. ALIFANYWA NINI MPAKA AKAJIBU
hajafanywa chochote yule mzee mwenzetu!wamemfananisha na tu!ndo ugomvi wenyewe!that woman is insecure,hajiamini ht kidogo km anakunya nje!!
 
Daaah binamu kuna watu hata kutoa mimba hawajawahi Ila wanavyohangaika kutafuta mtoto mmh

Kuna wengine wameenda hadi labour Ila hawakupata chochote maskini, wakaishia kuuguza vidonda na kuona makovu (my cousin sis, few weeks ago alijifungua triplets na wote walifariki bahati mbaya)

Kuna waliolea watoto hadi wakawa wakubwa but Kwa mapenzi ya Mungu, mama zao leo wamebakiwa na ukiwa.
Aliyekupa wewe ndo kamnyima na mwingine
yule mmama hao watoto!wanne km kazaa malaika!unaweza zaa wakawa mashoga na strippers!!kutwa IG na snapchat!
 
Jamani Kwa mtazamo wangu
Ingawa sipo upande wa zari wala wema. Siwezi kufananisha uzuri, mvuto ,urembo , umri na majukumu ya kifamilia ya Zari kwa Wema .
Nitakua namuonea wema.
Na kumkosea heshima Zari.
Hivyo basi Zari atafutiwe mtu mwingine wa kufananishwa nae
Au kupambanishwa nae.
Like wise Wema atafutiwe wa saizi yake.
Ili asipwelepwete Kwa Zari.
 
Jamani Kwa mtazamo wangu
Ingawa sipo upande wa zari wala wema. Siwezi kufananisha uzuri, mvuto ,urembo , umri na majukumu ya kifamilia ya Zari kwa Wema .
Nitakua namuonea wema.
Na kumkosea heshima Zari.
Hivyo basi Zari atafutiwe mtu mwingine wa kufananishwa nae
Au kupambanishwa nae.
Like wise Wema atafutiwe wa saizi yake.
Ili asipwelepwete Kwa Zari.
Thread closed thank you
 
Ana mabwana kibao sio wa simba peke yake. Huwatendei haki wengine Katunzy, ........
 
08b02b1ac1b9558f33d95b33b1fc878c.jpg
huyo zari ni wakawaida Sana sema editing zinambeba sana
Dahhhh hizo cellulite asipo anza mazoezi soon
Atasahau kuvaa mini dress, mini skirt kitu chochote kifupi.
 
Me sipo huko snapchat wala sijui wapi wapi. Nimeichukua statement yake kama ilivyo bila kuangalia ilimlenga nani na sijui walipoanzia, but kuna vitu ambavyo huwezi kumuombea hata your worst enemy. As a matter of fact, ni wangapi waliabort ila Leo Mungu kawapa neema ya watoto? Principle ni hii moja, unapobarikiwa na kitu fulani mshukuru tu Mungu, wala usicheke au kudharau wa chini yako. Mungu akiamua yake........
TEHETEHE punguza jazba mwanamama .........
 
Ujue binadamu tunajisahau sana. Ukipata kakitu unawaona kama wale ambao hawana ni wazembe sijui. Kuna watu hawajaabort ila Mungu hajafungua matumbo yao, wanahangaika hadi huruma. Kwani wewe uliyepewa ni bora zaidi ya hao wengine?, hapana ni kwa neema tu.
haha kila nikikuona nacheka tuu ...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue mi nashangaa anaye semwa mbona ana fahamika

Halafu mbona wenye mapungufu wengi tuu husemwa tena humu humu jf lakin sija wahi ona watu wana sema hujafa huja umbika

Why this tuu!!?
nashangaa watu wanajumlisha na kutoa ..... na kumleta muumba wetu snapchat wakati huyu mwwnamke ana maasi.ya kuchokonoa mimba... mtoto wangu natamani asijeona picha ya huyu role model wao..
 
"Mtoto" ni kitu very sensitive kwa Mwanamke, mnoooo, unless hujawahi kukutana na wanaotafuta watoto

Oops sijaover-react, ndo tone tu ya kuongea hadi maandishi yangu
wlitumwa atoe mimba nawafaham wa kuwaoneo huruma hata mm ni mwanamke lakin huyu kila leo yupo na wanume tofuti hat hicho kizazi chenyewe kimejixhokea akome
 
Kwa hiyo akisemwa wema, ndo sio kufuru au? Mbona hata Wema kumsema tiffah sijui sio mzuri, alichambwa vizuri tu. Me sinaga mambo ya kindezi ya team, nimeongea kile nilichokiona kwa mtazamo wangu ni sawa
sio kwa sababu sababu za ugumba wake ni kumkufuru mungu period
 
Back
Top Bottom