Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Me sipo huko snapchat wala sijui wapi wapi. Nimeichukua statement yake kama ilivyo bila kuangalia ilimlenga nani na sijui walipoanzia, but kuna vitu ambavyo huwezi kumuombea hata your worst enemy. As a matter of fact, ni wangapi waliabort ila Leo Mungu kawapa neema ya watoto? Principle ni hii moja, unapobarikiwa na kitu fulani mshukuru tu Mungu, wala usicheke au kudharau wa chini yako. Mungu akiamua yake........

Umemaliza kabisa huo ndio ukweli
 
Yani nilikua nampenda but today nimemshusha ptuuuu!!!!
kuzaaa ni majaliwa mamamaa....!
Neema aliyopewa ya uzazi isiwe kibri kwake!!akumbuke hujafa hujaumbika Mungu anaweza kukubadilisha ndani ya Dkk sifuri,kuna machungudoa kibao wana watoto na wapo walokole Mungu hajawapa hyo neema
Mpuuzi huyu bmkubwa...!!
km yy ndo wa kwanza kuzaa hapa ulimwenguni!!au km hatokuja kufaaa!!!sipendi anaekashifu wasiozaa!!
Wangapi wametoa na wanatoa mimba na bado wanazaa!!
asitake kujifanya yy ndo yy!!Mtu mzma kutwa kwenye mitandao kushindana na watoto wadogo!!HV hana kazo ya kufanyaa!!
kuzaa kazaa mende,pànya anabeba mimbaa!!
Aashe mahashuo afanye kazi kutwaa mitandaoni akopeshe ht chupi huko kwao bas tujue biashara zake
Nyau wa kiganda!!!
kwa povu hili hapa JIWE limempata mhusika. Pole dada
 
Ni hulka yetu Wanaadam ku play victims every time those that we "hit" also hit back, huwa hatukubali makosa kirahisi!

Kwa nilivyoielewa hii statement ya Zari ni kwamba "it's about time she got compared to someone with the same values as those that she posses" kama hivyo alivyotolea mfano; Anataka afananishwe na mwanamke/mdada her own age (35yrs) na mwenye angalau watoto wanne kama yeye then ndio conclusion ya "who is who" ipatikane otherwise ni kumuonea tu kumfananisha na mabinti/wadada ambao hawana hata watoto & wako maybe na 20-30 yrs of age....sio fair.

Nami nafikiri hicho ndio kilichomaanishwa, labda tu akaharibu alipoweka 'hoes' ikapoteza hata chochote alichodhamiria.....
 
Mi mwenyew uwa sinaga timu yeyote,

Ila naamin kwenye kitu inaitwa self defense, ukipgwa na wewe piga mwenzio hadi ashindwe kuinuka

Nadhan huyo alo msema mwenzie alikuwa ana ji defend tu
Unatetea ujinga mkuu kwa alichoandika zari kaingilia Kazi ya Mungu, bora hata angesema "Msinifananishe na Malaya wenye Matako ya kichina na fake life ....."kuliko kuingiza kizazi ambacho ni neema ya Mungu aliyopewa
 
Ila still ni Mungu huyo huyo ambaye kuna watu waliharibu ndoa za watu, Leo kawapa ndoa zao na zinadumu kuliko za wale waliokuwa decent miaka yote. Kutoa mimba sio kitu cha kushangiliwa but pia sio fimbo ya kumchapia mtu. Who knows inawezekana mwenyewe alishatubu kwa Mungu wake, na Mungu sio wewe au mimi, ukute kashasamehewa. Hata mimi na wewe tuna dhambi zetu, na kwa ubinadamu tu tusingestahili neema yoyote. Unavyoomba Mungu akubariki pamoja na dhambi zako ndo na mwenzio anaomba Mungu amkumbuke vile vile pamoja na dhambi zake. So ukibarikiwa usione kuwa labda dhambi yako ni ndogo kuliko ya yule . Onya, Kemea ila usihukumu coz wapo waliotoa mimba na Leo wana watoto wao. Above all waombee sana wanao, huwezi jua watakutana na yapi kwenye maisha yao.
Umeongea vizuri mkuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] watu wanacheza na Mungu
 
kisaikolojia mtu anayetumia nguvu yeye nakuwaambia watu yeye ni bora kwakuushihieisha ubora huo mwenyewe ni dhahiri hajiamini anaforce watu wafukie udhaifu uliopo! asubiri aone watu wanamsifia!
Hata uwe mzuri vipi haiwezi kupunguza umri ulionao, haifanyi usiitwe mama wa watoto 4, umeolewa na kijana mdogo, ungekuwa superior aliyekuletea mauzauza asingedhubutu! aliona anaweza kuwa na wengine akarusha huko na 3 kids let jer learn from this! amedate na wangapi baada ya talaka na hawakupapatika kumuoa? ashukuru daimond kamtoa aibu! kuolewa na watoto wanaolingama mwili na baba yao mdogo sio kitu chakujivunia nichakurudiahia Mungu asante!

Watu buana kuzaa kuzaaa eeehhh awaache mabinti wawatu na hao mabinti wamuache mama wawati anakaribia menopause( spelingggg) [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kwani haya majigambo aliyo andika Zari huwa hayasemwi na wengine?
 
Diamond kamuoa au wanaishi tu? Hata wakichokana sheria wala haihusiki kila MTU na hamsini na ndo mana anajaribu kumpa attention domo kwake ili asisepe na inavoonekana yeye ndo alimtongoza domo[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kisaikolojia mtu anayetumia nguvu yeye nakuwaambia watu yeye ni bora kwakuushihieisha ubora huo mwenyewe ni dhahiri hajiamini anaforce watu wafukie udhaifu uliopo! asubiri aone watu wanamsifia!
Hata uwe mzuri vipi haiwezi kupunguza umri ulionao, haifanyi usiitwe mama wa watoto 4, umeolewa na kijana mdogo, ungekuwa superior aliyekuletea mauzauza asingedhubutu! aliona anaweza kuwa na wengine akarusha huko na 3 kids let jer learn from this! amedate na wangapi baada ya talaka na hawakupapatika kumuoa? ashukuru daimond kamtoa aibu! kuolewa na watoto wanaolingama mwili na baba yao mdogo sio kitu chakujivunia nichakurudiahia Mungu asante!

Watu buana kuzaa kuzaaa eeehhh awaache mabinti wawatu na hao mabinti wamuache mama wawati anakaribia menopause( spelingggg) [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
haha hata hao unaowaita mabinti wanakaribia meno posi[emoji37] ukihesabu vidole ilikupayta miaka yao wanapaswa kuwa na familia sio blabla..
 
Unatetea ujinga mkuu kwa alichoandika zari kaingilia Kazi ya Mungu, bora hata angesema "Msinifananishe na Malaya wenye Matako ya kichina na fake life ....."kuliko kuingiza kizazi ambacho ni neema ya Mungu aliyopewa
Self defense haija wahi kuwa ujinga ndugu yangu
Dont go soft on ur enemy, hit 'em hard or else uta aibika wewe

Nadhan lilikuwa ni jiwe sahihi kabsa kwa mtu alo chokozwa
 
Back
Top Bottom