UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

Sijui Tff wametumia kigezo gani kuruhusu uwanja wa namna hii kutumika kwenye mechi za ligi kuu.TFF HOVYO KABISAA[emoji706][emoji706]
 
Huo uwanja si umejaa maji ya kutosha? Pale si kuna mkondo wa maji ilikuwaje wakajenga uwanja? Si bora wangejenga pale kwenye uwanja wa basket maana papo juu.
 
Ule uwanja ni sawa na uwanja wa michezo ya Farasi au mabanda ya ng'ombe za kimasai.
Nimeuona mkuu
Nadhani jkt hawana pesa ya kukodi uwanja kama pale chamazj
Game ingechezewa hapo wangekula mkono.
 
Mechi imepigwa kapuni hadi muda huu
 
Mechi inapigwa leo uwanja ule ule wa shsmba la mpunga ulioarishwa jana.
 
Kwa jinsi ninavyoipenda Yanga, mwanaume atakayenioa lazima awe Yanga vinginevyo abadili timu anifate
...πŸ’šπŸ’›πŸ€Έ...!
Mimi nipo Yanga,
Nina kadi ya uanachama.

Ukiwa na mimi utaingia hadi vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…