UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

Sijui Tff wametumia kigezo gani kuruhusu uwanja wa namna hii kutumika kwenye mechi za ligi kuu.TFF HOVYO KABISAA[emoji706][emoji706]
 
Huo uwanja si umejaa maji ya kutosha? Pale si kuna mkondo wa maji ilikuwaje wakajenga uwanja? Si bora wangejenga pale kwenye uwanja wa basket maana papo juu.
 
Mechi inapigwa leo uwanja ule ule wa shsmba la mpunga ulioarishwa jana.
 
Kwa jinsi ninavyoipenda Yanga, mwanaume atakayenioa lazima awe Yanga vinginevyo abadili timu anifate
...💚💛🤸...!
Mimi nipo Yanga,
Nina kadi ya uanachama.

Ukiwa na mimi utaingia hadi vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji
 
Back
Top Bottom