carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Injinia Kabenda Balete anaeleza kuwa watu wengi wanaoajiriwa hukurupuka kuanzisha biashara za ufugaji kuku au kuwekeza bila mpangilio mzuri kwa sababu tu wamewaona wengine wakifanya hivyo, jambo ambalo huleta hasara.
Anasisitiza kuwa biashara yoyote inahitaji misingi mitatu muhimu: mikakati, mifumo, na miundo badala ya kuendesha mambo kwa mazoea au kwa sababu ya kutafuta pesa za ziada tu.
Video: Hamasika TV
Anasisitiza kuwa biashara yoyote inahitaji misingi mitatu muhimu: mikakati, mifumo, na miundo badala ya kuendesha mambo kwa mazoea au kwa sababu ya kutafuta pesa za ziada tu.
Video: Hamasika TV