unamaanisha wilaya ya UKerewe labdaU.K? 🤣🤣🤣🤣 mbona siku hizi karibu kila mtu kasoma huko ama hufahamu?
Mimi nisipokula, kata nzima yenye wakazi 27,000 ujue pia haijala pambana masikini
Shida ni moja wewe bado mtoto mdogo, mimi ni mtu mzima nimeajiriwa siku nyingi na kusoma nimesoma siku nyingi naweza kuwa baba yakounamaanisha wilaya ya UKerewe labda
UK hasomi kilaza na kwanza siku hizi wabongo mlishapigwa stop hakuna mbongo anaesoma huko kirejareja
sasa wewe elimu na hela huna unapiga tu makelele humu
View attachment 3704158
Tayari umekuwa mdogo kama piritonShida ni moja wewe bado mtoto mdogo, mimi ni mtu mzima nimeajiriwa siku nyingi na kusoma nimesoma siku nyingi naweza kuwa baba yako
Biashara ya kitimoto vipi experience yako, najua wewe ni mlaji mzuri sana wa ile kituAache kutisha watu huyu
Mama yangu alifuga kuku na kutusomesha kama Mama wa nyumbani
Na ilikuwa enzi vifaranga wanatoka Zambia, tunaenda kuwasubiri TAZARA.
Kufuga kama umejipanga kwa chakula na madawa wala sio shida
Tatizo ni soko, ila kama mtafutaji kwa wauza chips na mahotelini, wala sio tatizo
Mimi nilikuwa nasoma shule, jioni baada ya shule nazunguka Kariakoo yote kwa wauza chips na mahoteli kutafuta soko.
AstaghafirullahBiashara ya kitimoto vipi experience yako, najua wewe ni mlaji mzuri sana wa ile kitu
Tatizo ni kuwa sikuhizi watu wajuaji sana Sheikh na kila mmoja ataka afahamike, so anatafuta tu mada na waandishi wa habari kuzungumzaAache kutisha watu huyu