carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Kuku unawajua? HahaaaaInjinia Kabenda Balete anaeleza kuwa watu wengi wanaoajiriwa hukurupuka kuanzisha biashara za ufugaji kuku au kuwekeza bila mpangilio mzuri kwa sababu tu wamewaona wengine wakifanya hivyo, jambo ambalo huleta hasara.
Anasisitiza kuwa biashara yoyote inahitaji misingi mitatu muhimu: mikakati, mifumo, na miundo badala ya kuendesha mambo kwa mazoea au kwa sababu ya kutafuta pesa za ziada tu.
Video: Hamasika TV
Masikini vipi hali ya kwenu uyole ikojeAache kutisha watu huyu
Mama yangu alifuga kuku na kutusomesha kama Mama wa nyumbani
Na ilikuwa enzi vifaranga wanatoka Zambia, tunaenda kuwasubiri TAZARA.
Kufuga kama umejipanga kwa chakula na madawa wala sio shida
Tatizo ni soko, ila kama mtafutaji kwa wauza chips na mahotelini, wala sio tatizo
Mimi nilikuwa nasoma shule, jioni baada ya shule nazunguka Kariakoo yote kwa wauza chips na mahoteli kutafuta soko.
Sio hao alioomaanishatusitishane kuku tunawajua vzuri sana, hasa hasa kuku wa kanda ya kati, na kwa sasa wanatafutwa kama dhahabu.
kwan hao wa kanda ya kati sio kuku?Sio hao alioomaanisha
Ndio kazi yake hiyo mjiniApunguze ushauri kwenye maisha ya watu.
Kila mtu na mishe zake.
Mtu akifeli au akifaulu wala haimsaidii lolote.
Anauza maneno tu.Ndio kazi yake hiyo mjini
DahAache kutisha watu huyu
Mama yangu alifuga kuku na kutusomesha kama Mama wa nyumbani
Na ilikuwa enzi vifaranga wanatoka Zambia, tunaenda kuwasubiri TAZARA.
Kufuga kama umejipanga kwa chakula na madawa wala sio shida
Tatizo ni soko, ila kama mtafutaji kwa wauza chips na mahotelini, wala sio tatizo
Mimi nilikuwa nasoma shule, jioni baada ya shule nazunguka Kariakoo yote kwa wauza chips na mahoteli kutafuta soko.
maneno ni madini.Anauza maneno tu.
Unakuta hata huo ufugaji hajawahi kufanya.
Experience is a good teacher.maneno ni madini.
Yeye anasoma biashara za watu wengine.
Anasoma na kufanya tafiti.
Anajifunza ni wapi watu wanafeli ni wapi wanapatia.
Baada ya hapo ukija wewe anakupa madini hayo.
Anakurahisishia badala ya wewe kwenda kutumia muda mrefu kujifunza bussness mbalimbali.
Unamkuta yeye yuko tayati.
Anaitea bussiness consultant.
Unalipa na fees.
Maisha yanaendelea.
Pole sanaMasikini vipi hali ya kwenu uyole ikoje
U.K? 🤣🤣🤣🤣 mbona siku hizi karibu kila mtu kasoma huko ama hufahamu?Pole sana
hizo hela za kufuga kuku za mama yangu zimenifikisha mpaka kusomea chuo kikuu UK
Sasa wewe vipi, leo umekula hata mchana huu