Umeajiriwa unakurupuka kufuga Kuku,unawajua vizuri?

U.K? 🤣🤣🤣🤣 mbona siku hizi karibu kila mtu kasoma huko ama hufahamu?

Mimi nisipokula, kata nzima yenye wakazi 27,000 ujue pia haijala pambana masikini
unamaanisha wilaya ya UKerewe labda
UK hasomi kilaza na kwanza siku hizi wabongo mlishapigwa stop hakuna mbongo anaesoma huko kirejareja
sasa wewe elimu na hela huna unapiga tu makelele humu
 
unamaanisha wilaya ya UKerewe labda
UK hasomi kilaza na kwanza siku hizi wabongo mlishapigwa stop hakuna mbongo anaesoma huko kirejareja
sasa wewe elimu na hela huna unapiga tu makelele humu

View attachment 3704158
Shida ni moja wewe bado mtoto mdogo, mimi ni mtu mzima nimeajiriwa siku nyingi na kusoma nimesoma siku nyingi naweza kuwa baba yako
 
Shida ni moja wewe bado mtoto mdogo, mimi ni mtu mzima nimeajiriwa siku nyingi na kusoma nimesoma siku nyingi naweza kuwa baba yako
Tayari umekuwa mdogo kama piriton
 
Biashara ya kitimoto vipi experience yako, najua wewe ni mlaji mzuri sana wa ile kitu
 
Tatizo ni kuwa sikuhizi watu wajuaji sana Sheikh na kila mmoja ataka afahamike, so anatafuta tu mada na waandishi wa habari kuzungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…