Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho,
"USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN."
Kwa kimombo,
DO NOT LEAD US INTO TEMPTATION, BUT RESQUE US FROM EVIL ONE, AMEN.
Rabbi Yeshua amachiah alitufundisha katika Sala hiyo kuwa tumwombe Mungu asituingize MAJARIBUNI, lakini ikitokea ameruhusu majaribu juu yetu, tupate mlango wa Kutokea tuepushe NAFSI zetu. Mji unaenda kuangamia Ili kupona ni LAZIMA tujue kwanini Mungu anakwenda kuuadhibu mji na wakaao ndani yake.
Sababu kuu ya ADHABU inayokuja ni Mungu kuuadhibu miungu ya nchi iliyomwaga Damu ya watu wake na inaendelea Hadi sasa kupitia IBADA za sanamu na makafara yafanywayo na wakazi, viongozi wa Taifa Hilo ambalo Mungu alilichagua na anaona wivu mkuu juu yake, hivyo ADHABU haiepukiki.
Njia pekee ya kujiokoa ni kutubu na kuacha DHAMBI na kuokoka. Lakini njia ya temporary ni kuhama mji, njia hii ni ya Zima moto maana baada ya mji huo, itafuata miji mingine Kwa ADHABU mbalimbali. Njia nzuri ni kujitakasa Ili ADHABU ikija isikupate.
Ukifuatilia utube, Kuna wimbi la jumbe mbalimbali zitolewazo na mchanganyiko wa manabii wa uongo na WA Kweli,
Jumbe hizo zote zinadokeza juu ya Dunia nzima kuingia katika msimu mpya. Mwandishi ni mmoja wa watu waliojaliwa uwezo wa kutambua Nabii wa KWELI na WA UONGO.
Tanzania ni Nchi ya AGANO, Israel ni Nchi ya AHADI.
Msimu mpya ulioamriwa tangu July 2020, unakuja kutengeneza mfumo mpya na Taifa jipya ambalo ndio litakalokuwa kimbilio la mataifa yote ULIMWENGUNI, Taifa Hilo ni NYIKANI. TANGANYIKA.
Ili kujenga nyumba imara, lazima ibomolewe nyumba ya zamani Ili ijengwe nyumba mpya.
Tumeshuhudia majanga katika Nchi mbalimbali ULIMWENGUNI while Nchi yetu ikiwa salama, upendeleo huo Si wa Bahati mbaya.
Sababu Mungu anatupenda sana, lazima tuadhibiwe sana lakini ni Kwa Nia njema. Tutapitia njia ngumu kama Taifa Ili mbeleni, NURU kuu ije kuangazia Ulimwengu mzima waje kuona ukuu wa Mungu juu ya nchi hii.
BANDARI SALAMA.
Mji huu ndio mji wenye Karibia Kila kabila Kutoka pande zote za Nchi, na ndio mji mkubwa tegemeo Kwa mikoa yote nchini, kupigwa Kwa Bandari salama, ni kuadhibiwa Kwa Nchi nzima.
Tetemeko kubwa Kutokea baharini, litayatikisa maji na kutengeneza dhoruba kubwa itakayoleta Mafuriko makubwa juu ya mji karibu wote wa Bandari salama. Madhara ya kiuchumi, kisiasa, kijamii nk nk yatakuwa makubwa hivyo wakazi wa mji huo wanashauriwa kuhama haraka iwezekanavyo.
MAJIRA YA KUTOKEA DHAHAMA HIYO YAMETAJWA ILI WANA WA MUNGU YASIWAPATE.
TAREHE: (1-20).
MWEZI: APRIL hadi MAY.
MWAKA: 2024.
ANGALZO: Wajinga watachukua hatua, lakini Werevu watasubiri yatokee Ili waseme Fulani alisema.
Tembelea U-Tube, Sikiza Nabii mbalimbali za watumishi wa Mungu walioonyeshwa juu ya yajayo juu ya Dunia na Taifa letu.
TENGWA TV ya Mwl Bilomo Tengwa, UNYAKUO TV ya Nabii Boniface Victor, Nabii Sanga nk nk.
Mwombe Mungu akuthibitishie manabii Hawa na jumbe hizi ikiwa zinatoka kwake au la.
UBARIKIWE. Amen