Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Mimi 2009 sekondari Kiluvya tulikua tunaaccess Phonerotica...com na kudownload games WAPTRICK.CCOM kwa simu ya rafki yangu alipewa na bro wake alitoka ng'ambo KIMOTOROLA matata.
Mitandao ya kijamii nilikua siijui hata,naona uwongo uwongo tu.
Hahaha 🤣 phonerotica
 
2019 mtandao wa jf
2009 facebook no messanger .
COmputer tokea niwe na miaka 9
 
Vodacom the Grid.
Ilikuwa ni kudondosha new blips tu.
 
Back
Top Bottom