DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ikikuuma Natuma na Video kabisa 🤣🤣🤣🤣
Kulia kupokezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lenu litatoka kesho baada ya kukandwa leo
Duh 🤣
Ina kera e🤣🤣Wala halikeri. Kero na maumivu ni kufungwa na mtani, na maumivu hayo yanaondoka kwa mtani kumfunga mtani wake na sio kusaidiwa na Waarabu.
Halafu mbona hazikufika 5 ili kuwe na mlinganyo?
Mimosa hana uwezo wa kunfunga simbALenu litatoka kesho baada ya kukandwa leo
Kalaga bahoMimosa hana uwezo wa kunfunga simbA
Kwani shughuli si leo haya subiri uoneKalaga baho
Simba alikuwa na uwezo wa kupigwa Tano kama Kcmc?
Kweli kabisa 🤣Wala halikeri. Kero na maumivu ni kufungwa na mtani, na maumivu hayo yanaondoka kwa mtani kumfunga mtani wake na sio kusaidiwa na Waarabu.
Halafu mbona hazikufika 5 ili kuwe na mlinganyo?
Wala halikeri. Kero na maumivu ni kufungwa na mtani, na maumivu hayo yanaondoka kwa mtani kumfunga mtani wake na sio kusaidiwa na Waarabu.
Halafu mbona hazikufika 5 ili kuwe na mlinganyo?
Kwa akili yako ndogo ukajua Yanga watachukia!
Sisi watani zetu ni waarabu na sio nyie[emoji28]Wala halikeri. Kero na maumivu ni kufungwa na mtani, na maumivu hayo yanaondoka kwa mtani kumfunga mtani wake na sio kusaidiwa na Waarabu.
Halafu mbona hazikufika 5 ili kuwe na mlinganyo?
Tunapiga kama ngomaMimosa hana uwezo wa kunfunga simbA
Nawe unaamini ni kweli? Inaonekana u poyoyo sana wewe kama unaamini hili.Naomba kujua gharama ya kuweka bango Kwa siku....duh mpira umechezwa jana mpaka saa sita usiku,...saa 12 asubuhi bango tayari.....watu wanaela ya kuenjoy jamani.
Mkuu mbona nimepita hapo hakuna hilo bango?
Inawezekana wadau wamefanya Photoshoping Maana na mimi nilitumiwa Inbox sijapiga pichaMkuu mbona nimepita hapo hakuna hilo bango?