Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu.
Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania
Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya kawaida akaamua hapana Lockdown maana Lockdown ni unafiki
Wapinzani uchwara hohehahe mbumbumbu vilaza wakaja juu kushinikiza lockdown yaani tuwaige wazungu huu ni upumbavu wa hali ya juu
Kwa hali waliyotarajia kuwa kabda Corona ingelikuwa tishio wanahangaika kwa as kuombea vifo viongezeke, watu wapate hofu lakini ni uongo mtupu maana watu wanafanya biashara wanadunda tu mitaani
Ni dhahiri kuwa Chama cha CHADEMA hakiwezi tena kuwa chama cha siasa kimepoteza legality ya kutetea masilahi mapana ya nchi tulichobakiza Watanzania ni kukinyima kura yaani wakoswe wabunge mpaka madiwani wakajifunze kuja na siasa zenye masilahi mapana ya nchi