Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu.

Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania

Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya kawaida akaamua hapana Lockdown maana Lockdown ni unafiki

Wapinzani uchwara hohehahe mbumbumbu vilaza wakaja juu kushinikiza lockdown yaani tuwaige wazungu huu ni upumbavu wa hali ya juu

Kwa hali waliyotarajia kuwa kabda Corona ingelikuwa tishio wanahangaika kwa as kuombea vifo viongezeke, watu wapate hofu lakini ni uongo mtupu maana watu wanafanya biashara wanadunda tu mitaani

Ni dhahiri kuwa Chama cha CHADEMA hakiwezi tena kuwa chama cha siasa kimepoteza legality ya kutetea masilahi mapana ya nchi tulichobakiza Watanzania ni kukinyima kura yaani wakoswe wabunge mpaka madiwani wakajifunze kuja na siasa zenye masilahi mapana ya nchi
 
Jana Mh. Mbowe alikuwa analialia ashirikishwe kwenye budget ya Corona hahahaha.... sijui hajui kuwa tarehe 30/06/2020 mwisho wa KUB wake??. Wanaomba watu wafe wengi kwa Corona ili Bunge liahirishwe! Hakuna cha kuahirishwa Bunge zaidi zaidi ni kuvunjwa Bunge. Tena mwambie ugonjwa wa corona ukizidi sana Bunge litavunjwa hata kabla ya 30/06/2020 akalime Ndizi huko kwao au arudie UDJ wake!.
 
Mnajitahidi sana kuandika ujinga,hilo nawapa pongezi!Najiuliza hamna mshipa wa aibu?Aisee,sio kwa takataka hii!
Next time jisemee nafsi yako,marufuku kuniongelea na mimi!
 
Wewe unategemea wapate kura kwenye udikteta huu?
 
Mbowe anatafuta umaarufu wa kisiasa tu

Unajua Kwanini Mbowe anataka lockdown? Yeye ana mshahara zaidi ya milion ishirini kwa mwezi

Kwahiyo nyie wana Mbagala hata mkifa njaa hana habari yeye atakuwepo kinondoni anapiga kunga
Ndo umefilisika hoja kiasi hiki, endelea kuokoteza .
 
Natamani CCM washinde kila kiti, ili tuone 2025 watatuambia nini. Maana sasa hivi inaonekana tatizo ni Chadema.
 
Uzi wa kipumbavu uliojaa ujinga mtupu ! , ila kwa vile ID yako feki basi baada ya uchaguzi utabadili ID kwa aibu , muulize Wasira akusimulie alichoambulia baadavya kauli yake ya kiboya kama hii
 
Like nne kwa uzi wa masaa 10..nadhani umeelewa maana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…