Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

Kwa mtazamo wangu serikali hii imejitenga na wananchi kuliko serikali yeyote kabla yake. Serikali imeua nguvu ya siasa na kubaki katika kutegemea nguvu ya jeshi na usalama wa taifa dhidi ya watu wake.

Yaani jeshi na usalama wa taifa kama kundi unaandama mtu mmoja mmoja na kutisha wengine. Ushujaa utakaoibuka ndani ya watu na kwa nguvu ya Mungu jeshi na usalama(kikundi onevu) havita shinda kamwe. TIME WILL TELL
 
Muuuuuh, huko upstairs hauko vizuri, saaana patakuwa pamejaa kamasi na mafuta ya corona.
 
Serikali ya ccm inadharaulika sio na wananchi wake tuu, bali hata nchi jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee!

Ina maana hamjui kuwa Covid 19 inakwenda kuleta mabadiliko ambayo hutaaamini kama Mungu atakuweka hai.

Ujue hakuna mwenye kinga na janga hili,na kwa hiyo hakuna mwenye guarantee ya kuwa ndiye atashinda.Amin nakuambia tu,huenda ikawa mwanzo wa mfumo mpya wa utawala duniani.Nadhani watu wengi wanaona mambo kwa uono mfupi sana.Ila ukikaa vizuri ukatulia,kuna maswali mengi utaona hayana majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu hujapoteza ndugu yako, kwa huu ugonjwa unaweza kujikuta unaongea sana. Na zaidi, waongea usivyovijua. Ila acha maisha yaendelee.....
Mungu awalaze mahali pema shemeji yangu, na shangazi yangu. Na nawaombea ahueni wanafamilia waliopo kizuizini wanaoendelea kupambana na uhai wao.

#Kama huna ulazima wa kutoka nje, baki nyumbani. Ukitoka vaa barakoa mara zote, na usijishike usoni bila kunawa mikono kwa maji safi na sabuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buk 7 muwe mnandika hoja zenye mashiko mueleweke. Mnakidhalikisha Chama cha Mapinduzi. Kweli MTU Mzima umewaza na kuja kuandika uharo kama huu! Halafu mnahamasishana mcomment wengi uharo tu. Poleni sana. Mnanihamasisha nikichukie Chama kama hamjui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda facebook ndio saizi yako unaandika uchafu unatuletea wenye akili zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti duniani zinaonesha kuna watu hulipwa na chama tawala il waviandike vyama shindani vibaya. Sina shaka wewe unalipwa kuandika upuuzi huu. Njaa yako imakufanya uandike upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanazidi kupuputika wewe upo na CDM 😷
 
Vijakazi wa lumumba mnaendekeza sana njaa,mmewasahau ndugu zenu wanaopata shida kisa buku7?
 
Endelea kutetea wauaji hadi watu wa karibu yako wakifa ndiyo utajua nini wasemacho CDM.Cheka na nyani uvune stahiki yako!
 
Hata CCM kuwa madarakani, wamebakiza mwezi mmoja tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaeshangilia kitu usichokijua, wewe unashindana na Mbowe, wakati humuwezi hata kwa punje ya haradani. Pili kuvunjwa kwa bunge, ndio mwisho wa uhai wa serikali yote akiwemo huyo unaemuabudu. Kwakuwa katiba yetu imepitwa na wakati, na vyama vya siasa vinachelea kuomba ibadlishwe. Rais anatakiwa akabidhi madaraka kwa jaji mkuu, mpaka pale atakapo apishwa tena. Na asitumie Mali yoyote ya serikali katika kufanya kampeni za kisiasa, na walinzi wanakuwa wachache kutokana na muongozo wa tume ya uchaguzi. Endeleeni kuwaona watanzania wajinga, iko siku isio na jina kila kitu kitawekwa wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasoma upya hiyo Katiba mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…