Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

Tunaomba mpaka corona iishe viongozi wote wanaojiona miungu watu wawe kaburini... Amen...
 
Hadi mfe wote pumbavu, mnafikiri kukimbilia Chato ndo salama?
 
Tofautisha ccm na watz,
 
Akili ndio ndogo na bahati mbaya Covid-19 haishambulii watu kwa kigezo hicho na ndio walau pona yako.

Sasa unafikiri ccm ikipora huo mnaita 'Uchaguzi' kwa asilimia 100 ndio nchi hii itakuwaje.

Mimi Natamani sana waupore hivyo ndio nchi iwe 'Shithole' vizuri ili 2025 uchaguzi uwe kama kusukuma mlevi tu vile ccm ijifie hapo maanake na effects za huu ugonjwa uchumi hautakuwepo kabisa.
 
Balozi Mahiga amebakisha muda gani?

(familia ya balozi naiomba radhi, silaha niliyoitumia inaweza kuwa imewaongezea majonzi, tupo vitani kuokoa walio hai)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…