Umechapwa na maisha si kwa sababu huna elimu, bro umekosa connection. Kazi zipo nyingi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme.

Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani?

Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako cha Ze Ze vitoto vilivyosoma ST. Marry lazima vichukue nafasi kwanza kisha wewe Mzee wa Ze , Ze utawekwa kwenye data base usubiri gape la Halmashauri ya Karatu
 
Title isomeme UMECHAPWA NA MAISHA.

Mkuu nahitaji no zako za whatsap nmekuchek PM
 
Ulimwona Yule mpishi wa Nchimbi? Kweli ni connection tuu ila ndo hivyo wakamuua.
 
Back
Top Bottom