Umeelewaje katuni hii Mdau?

Naunga mkono hoja
 
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?

Inahusu kikokotoo ambacho bunge ilikipitisha kwa mbwembwe zote, leo bunge hilohilo linakipinga na kujufanya hawajui nani alikipitisha!
Bunge litakibadilisha na bunge hilohilo litapiga makofi kwa shangwe na kumsifu mama kwa kuwa msikivu na kuwajali wananchi!
 
Apo ni udanganyifu tuu katika taasisi wanatengeneza njama za kuhujumu ili wapate faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…