dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Wanasiasa wanatumia dini na michezo, katika nyanja mbalimbali ili kukidhi matakwa yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wanatumia mlango wa dini na michezo (hasa kuwatumia wasanii wenye ushawishi ili kukusanya watu ) kutafuta kura
ilo sio jibu la swali jibu swali umeelewaje!!Jf imebadilika kutoka home of great thinkers to home of udaku.
Tafsiri ya mchoro haiwezi kuwa moja... na kingine main theme hapo ni jf. So nilijaribu kuangalia mada zinazo trend humu, nikagundua hilo kwa mtazamo wanguilo sio jibu la swali jibu swali umeelewaje!!