Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mzembe huyo, mtu Hadi unastaafu hukuweza kuwaza utaishije baada ya kustaafu? Hicho kutambulisho si angekata kabla ya kustaafu? Acheni kutetea wazembe.Ndugu yangu wa karibu amestaafu ni mwaka wa tatu huu anasubiri mafao. Hata nauli ya kurudi kwao hajapewa. Nyumba anayoishi ni ya kupanga inabidi mke wake apike mama ntilie ili waweze kuishi. Bado wanadaiwa 20,000 kitambulisho cha mjasiliamali.
Wewe unesha kata hicho kitambulisho,kwa maandalizi ya kustaafu ?Mzembe huyo, mtu Hadi unastaafu hukuweza kuwaza utaishije baada ya kustaafu? Hicho kutambulisho si angekata kabla ya kustaafu? Acheni kutetea wazembe.
Mna matatizo kwenu, ulishindwa Nini kumwelewesha kwamba Nyerere ni mtu siyo cheo? Nyumba nzima hamna aliyekuwa na akili za kumwelewesha Bibi yenu Hadi anafariki?Marehemu bibi yangu mpaka anafariki alijua Nyerere ni cheo cha kuongoza nchi. Alikua anafukuza “Nyerere wa sasa ni nani”?
Mengi,hata kuweza kuwakumbusha mnapokosea ni mafanikio makubwa SanaJiulize mwanachi wa Arusha,Mbeya,Kawe,Iringa mjini,Mbeya mjini wamefaidika nini kuwa na wabunge wa Chadema??
Sikihitaji, Mimi siyo mama ntilie.Wewe unesha kata hicho kitambulisho,kwa maandalizi ya kustaafu ?
Mimi nimemuuliza mwanachadema mmoja akanijibu hiviMuulize na jirani yako ni kitu gani binafsi kimembadilikia katika maisha yake tokea aichague CCM 2015 hadi leo,kiasi ya kwamba anafuraha ya kuipa tena CCM kura yakemfaida gani ya kujivunia yeye kama yeye mpiga kura wa kawaida tu,kama hakuna mabadiliko tokea 2015 hadi leo kwanini asiipeleke kura yake kwa Tundu lissu na kutoa kipimo cha miaka mitano ijayo ?
Maana kuichagua CCM miaka nenda miaka rudi upo palepale inamaana hako kachama hakana faida na wewe ni kujisumbua tu wanafaidika wenye viti na meza wewe mlala hoi huna unalolipata zaidi ya kunyanyaswa na makodi yasio na kichwa wala miguu,ni wakati sasa wakuachana na tabia ya kuipa kura ccm wakati hakuna wala hupati faida.
Mishahara haipandi,vyeo kwa wakubwa tu walewale wanahamishwa huku wakipelekwa huku,wewe usioonekana na chama hiki achana nacho.
Wengi wanaitetea ccm bila sababu yoyote ya nsingi yaani wanasumbuliwa na umbumbu.
Ni wale wanadhani Tanzania ni ccm bila ccm na Tanzania haipo
Zaidi ya matusi, kugomea bunge,kutukana Serikali na watendaji wake hakuna. Chama cha Mbowe kina nini cha kuwapa watanzania?. Faru John?.Jiulize mwanachi wa Arusha,Mbeya,Kawe,Iringa mjini,Mbeya mjini wamefaidika nini kuwa na wabunge wa Chadema??
hawa wagagagigikoko tunaowapa kura zetu tokea mfumo wa vyama vingi, CCM hawajatubadilisha tuko palepale tunasota na maisha ya kuokota maembe na kutia viraka,hawana faida ,na ukiangalia sana CCM wanawazidishia umasikini wanannchi,kwa maana toka uanze kuipa kura CCM badala ya kusonga mbele unajikuta unaludi nyuma.Tundu Lissu hana sifa za kuongoza Tanzania
Sizungumzii habari ya Chadema nipo na maisha ya mwananchi wa kawaida sana,amefaidika nini,amebadilika nini zaidi ya kupigika na hali ya maisha ,hakuna faida aliyoipata katika utawala wa CCM,anayohaki ya kutafuta sehemu nyingine ni uhuru wake lakini sio kulazimishana,mara hii akichagua chama kingine nini kosa lake,hatumii daraja wala si mpanda ndege hayo hayamuhusu wakati kula yake ni ya shida ,hajafaidika na chochote na utawala wa ccm.Wanachama wa Chadema, wanafaidika nini na hiyo saccos wakati michango na ruzuku anakula mwenyekiti pekee na hakuna wa kuhoji. Mkiitwa manyumbu ni sahihi kabisa, mtakamuliwa mpata akili zirudi mahali pake.
Mbunge ana serikali?Jiulize mwanachi wa Arusha,Mbeya,Kawe,Iringa mjini,Mbeya mjini wamefaidika nini kuwa na wabunge wa Chadema??
Tundu Lissu hana sifa za kuongoza Tanzania
Chadema kutokuwa madarakani hii ni faida kubwa sana