Uchaguzi 2020 Umefaidika nini na CCM -Jipime tokea 2015 tu hata leo uipe tena kura yako

Wewe umefaidika na nini na hao unao waunga mkono?chizi wewe
Tafadhali tusipangiane maisha.
 
Ningefeli hesabu ningekuwa nasubiri hela mara moja kwa mwezi kama wewe

Mkuu nilikufuatilia humu nina kujua vizuri sema sheria za humu zina ni bana kutoa majina !Miongoni mwa waliokuwa vilaza ni wewe !Trust me isinge kuwa umalaya wako wa kisiasa ungekuwa na maisha magumu sana !
 
Achague chama gani sasa?. Chama cha Mbowe faru John?. Upuuzi mtupu, hicho ndio chama watanzania kunufaika au viongozi kunufaika?. Huu ndio ukweli, Chadema ni Moja ya chama hovyo kabisa kuwahi Kutokea Tanzania. Mnajimwambafai bure, huku mkijua hamna la kuwapa watanzania zaidi ya kunemesha matumbo yenu na mabeberu zenu.
 

Jirani yangu ameniambia hiki ndicho amefaidi

 
Nimemiliki leseni 3 za uchimbaji wa dhahabu Pasi na kutoa rushwa jambo ambalo lilishindikana katika ya wala iliyopita kwani nilitakiwa nitoe hongo ya milioni 20 ili nipate wakati sasa nimelipa 2,850,000 kwa ajili ya application & licence fee...

Kunicha n'tuvengee,Likaswa n'tulowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…