Umefika wakati Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

..Kikwete hakusitisha.

..Bunge maalum lilikamilisha kazi yake na kutoa Katiba pendekezwa.

..Hatua iliyotakiwa kufuata ni kura ya maoni.
 
Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule!

Just simply case!

Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
JK hakusitisha mchakato ule, yeye na chama chake walichezea maoni ya wananchi hadi kupatikana kwa katiba pendekezwa ya ccm. Dhalimu Magufuli alipoingia ndio aligomea hatua ya kura za maoni Ili kupatikana kwa katiba mpya, kwa maelezo kuwa hakuahidi katiba mpya.
 
Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule!

Just simply case!

Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
Usimlazimishe atupige fix bana, unamuelewa mkwere wewe?

Mnajisahaulisha sana, kumbuka zile fedha za escrow alivyopindua meza.

Huyu tumuache akifa kitabu chake kitatupa majibu ya ukweli.
 
Ukipigwa fix nyingine kuna ubaya gani? 😊,
Namuhurumia sana, Jana ulimwengu alimnanga sana kwenye hadhira, sikufurahi kabisa.....
 
Back
Top Bottom