Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu

Au mnasemaje masela ?

Tuuze nchi tugawane mahela ?

Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE usiupuuzie kabisa
 
Bastola sio suluhisho la kudumu kwa matatizo ya kifamilia au unyanyasaji wa kijinsia.
 
Back
Top Bottom