momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Simba ndio mabingwa wa ligi yako mara mbili mfulululizo, Simba ndio timu pekee iliyofika robo fainali ya Champions League Msimu uliopita, na ikasababisha Tanzania kuongeza timu kutoka mbili mpaka nne.Ukweli ni kwamba Manara ni miongoni mwa watu wanaochangia kuijenga simba mitandaoni na kuiharibu uwanjani.....amekua muongo muongo kuipa sifa timu isizokua nazo na kuonekana bonge la timu mitandaoni ila uanjani sifuri....Simba wapitakiwa kuanza na huyu kabla ya Uchebe waliomtoa kwa dhulma
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ndio inayoongoza ligi yako mpaka na ndio timu yenye takwimu bora kuliko timu zote,hebu niambie nikitu gani kilichokuongoza wewe hadi kufikia kuiita Simba ni sifuri. Ondoa mihemko nipe takwimu.
Binafsi kuna mambo anayafanya manara mimi sipendezwi nayo pia nafikiri anamihemko iliyopitiliza, lakini vilevile Kuna Maisha baada ya Simba ndiyo anayojaribu kuyatengeneza akiamini kua vyeo nivyakuja na kuondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app