Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Mambo ni vipi?

Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi

Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.

Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaa
Kwa akili kama za mtoa post kuwafikia Wazungu ni kazi sana... Unalalamika 200K wakati bill imekuja 350K na umelipa? Wewe ni kab-ila gani mbona mshamba mshamba hivyo?

Mbona huna msimamo? Mara huna nyege naye, halafu mna-negotiate bei? Plan yako ilikuwa ni ipi?

Unalalamika nini sasa? Bro wewe ni ke-n-ge?(samahani ila hujaonesha msimamo, na hujaweka wazi ulihitaji nini).
 
Yaan bill yote hii ulilipa na wakat hyo hela unakula mbususu kama 7 hv na chenchi inabaki...ukiwa na 50k unalamba mbususu high classic kabsa
Note;usiwe domo zege na uwe smart!
Sasa nisiwe domo zege na niwe smart kivipi wakati hela nalipa? Mbona masharti tena? Si natumia hela yangu kwani napewa bure???
 
Kwa akili kama za mtoa post kuwafikia Wazungu ni kazi sana... Unalalamika 200K wakati bill imekuja 350K na umelipa? Wewe ni kab-ila gani mbona mshamba mshamba hivyo?

Mbona huna msimamo? Mara huna nyege naye, halafu mna-negotiate bei? Plan yako ilikuwa ni ipi?

Unalalamika nini sasa? Bro wewe ni ke-n-ge?(samahani ila hujaonesha msimamo, na hujaweka wazi ulihitaji nini).

Kenge baba yako[emoji28]
 
Binafsi nikishaenda mazingira ya starehe mara nyingi huwa nagonga bure.
Manake huwa tunapiga pombe mnakuja kupata fahamu tayari mpo lodge saa kumi alfajiri.
 
Home miaka ya nyuma kulikuwa na demu mmoja wa kihaya ,alikuwa anasoma diploma ya ualimu, alikuwa mtu wa bata sana mimi nilikuwa napiga nae story si zaidi ya mengine, kipindi fulani nilisikia dem anajiuza nikaona kama wanazingua kwani huyu demu kaka zake washkaji zangu.

Nina mwanangu mmoja mishe zake ni dalali, basi siku ndipo aliponipa kisa cha huyo demu, kumbe bwana aliongea nae wakakubaliana 30,000,wameenda gest jamaa kapiga mida ya alfajiri ,akaamtime akamtoroka, yule demu alikuwa akimwona yule dalali anamtukana sana.
 
Siku hizi wanawake sio wale wa mika hiyo ukigusa tu tayari keshajua amepata mawindo lazima akutafune hakuna mapenzi hapo
 
Back
Top Bottom