Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Wadada wengine sijui akili wanazipeleka wapi?mtu amekuita mfurahi kidogo mara unabeba kundi la watu kama unaenda fiesta????na isitoshe ni mtu mnafahamiana,ok haitoshi mnafakamia vitu kama kwenu huwa hamli(je ni ushamba au ni umjini mi ndo sijui) hivi imagine hata kama ni mimi labda kuna kitu kizuri nilikuwa nafikiria and for the first day unabehave hivo hivi ntakuconsider tena zaidi ya kuona nawe hamnazo???
Mademu zero brain [emoji3447]
 
Yaani mie wakati nahitaji kuoa,nilikuwa namuuliza demu maswali mawili: unanipenda ama unanipenda ili nikuoe.
Binti Kama anakupenda atakupa tu k yake muda wote unaohitaji,siku akaolewa na mwingine anakuambia njoo uniage mwezi ujao naolewa.yaani hapo unayeaga ndiye unayependwa Ila anayeoa amependwa aoe ampe social capital ama status tu kuwa na yeye ni Mrs somebody.
Nishawahi kukaa na binti mmoja bana ni nesi marangu hospital afu kwao ni boma. Yaani tulitumia naye hela ikaisha bana afu sikuwa poa mfukoni hata ni washkaji walinidhamini nikaenda. Hela ilipoisha mpaka ya kwake alianza kuwakamua wale wote inaonekanaga wanamshobokeaga. Walituma hela tukazidi ku extend siku za kukaa hapo njia panda ya himo. Ningemuoa sema Kuna shida moja kiokoo ya kurithi ya kikwao nikakwepa.
Ana kifafa?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kadem ka malaya hivi nlipewa namba na jamaa yangu baada ya kukaona hakaeleweki, ila kazuri first class, alikutana nako sinza car wash. Basi bwana nikakaita one day nikale eti kananiambia lodge huwa hakaingii nitoke nlipo niende hoteli kubwa na nimwandalie elf 100 kulala hadi asubuhi. Nikamwambia nitakupa 30 njoo ulale hapa nlipo kama huwezi chapa lapa. Hakuja, mm nikampa jamaa yangu namba yeye ni mtaalam wa vitoto vijinga kama hivi. Jamaa akafikia lodge ya gharama elf 60 akakaita kakaliwa 2 days akaondoka na elf 20 kwa maana ya 10 kwa siku na matusi juu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Wanaume bana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
ulifeli ulipomwambia aje na best zake. aliposema vile ulitakiwa umkatae
 
Mambo ni vipi?

Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..

Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.

Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.

Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.

Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].

Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top.

Yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
Huyo ni muuzaji ila yeye hajipangi barabarani
 
Bila picha zao sitaamini!
 
Sahvi ni mwendo wa dau tu, unakula mzigo mambo ya kutongazana yamepitwa na wakt [emoji23][emoji23]. Ila wife materials wanapotea taratibu
Hakuna haja ya kuanza unajua nyumbani kuna mpapai mrefu wala unajua nyumbani kuna ng'ombe wa mayai [emoji38][emoji38][emoji38] Str8 nenda, kwenye mada!
Wacha stori za muazima mkeka!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom