Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Wadada wengine sijui akili wanazipeleka wapi?mtu amekuita mfurahi kidogo mara unabeba kundi la watu kama unaenda fiesta????na isitoshe ni mtu mnafahamiana,ok haitoshi mnafakamia vitu kama kwenu huwa hamli(je ni ushamba au ni umjini mi ndo sijui) hivi imagine hata kama ni mimi labda kuna kitu kizuri nilikuwa nafikiria and for the first day unabehave hivo hivi ntakuconsider tena zaidi ya kuona nawe hamnazo???
ngoja nijaribu kukuita wewe tuone unasimamia maneno yako
 
Kuna kadem ka malaya hivi nlipewa namba na jamaa yangu baada ya kukaona hakaeleweki, ila kazuri first class, alikutana nako sinza car wash. Basi bwana nikakaita one day nikale eti kananiambia lodge huwa hakaingii nitoke nlipo niende hoteli kubwa na nimwandalie elf 100 kulala hadi asubuhi. Nikamwambia nitakupa 30 njoo ulale hapa nlipo kama huwezi chapa lapa. Hakuja, mm nikampa jamaa yangu namba yeye ni mtaalam wa vitoto vijinga kama hivi. Jamaa akafikia lodge ya gharama elf 60 akakaita kakaliwa 2 days akaondoka na elf 20 kwa maana ya 10 kwa siku na matusi juu
 
Mwaka jana mzee nilimkimbiaga pisi kali mmoja maeneo ya mwenge hotel nilimdanganya naenda kuangalia gari yangu nikawa nimeacha boxer tuu akaamini mwamba anarudi mpaka kesho nakumblock juu
haha.. Ukumuachia hata nauli?
 
Mambo ni vipi?

Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..

Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.

Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.

Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.

Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].

Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top

yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
Wajuzi hatuingii gharama nyingine kwa ajili ya mbususu, ila kama anauza mbususu tunanunua mbususu tu, chukua hiyo.....tena ikizidi 50 tunaachana nayo!
Screenshot_20210601-092956_2.jpg

ONYO
Ukifata mbususu fata mbususu tu, achana na mengine!
 
Unavokutana na mtu kwa mara ya kwanza afu mwanamke huwa napenda awe comfortable
Aaaah,wannee kabisa!hao wadada nimewavulia kofia timu ya watu wanne nakwambia hivi hao maisha yao yako hivo hata ukiwa na girlfriend katika kundi hilo ujue wewe utakuwa unajadiliwa na kundi zima
 
Kumbe ni muuza mbususuu
🤣🤣
 
Mwaka jana mzee nilimkimbiaga pisi kali mmoja maeneo ya mwenge hotel nilimdanganya naenda kuangalia gari yangu nikawa nimeacha boxer tuu akaamini mwamba anarudi mpaka kesho nakumblock juu

We jamaa huendi mbinguni[emoji23][emoji23]
 
Wajuzi hatuingii gharama nyingine kwa ajili ya mbususu, ila kama anauza mbususu tunanunua mbususu tu, chukua hiyo.....tena ikizidi 50 tunaachana nayo!
View attachment 1805371
ONYO
Ukifata mbususu fata mbususu tu, achana na mengine!

Sahvi ni mwendo wa dau tu, unakula mzigo mambo ya kutongazana yamepitwa na wakt [emoji23][emoji23]. Ila wife materials wanapotea taratibu
 
Aaaah,wannee kabisa!hao wadada nimewavulia kofia timu ya watu wanne nakwambia hivi hao maisha yao yako hivo hata ukiwa na girlfriend katika kundi hilo ujue wewe utakuwa unajadiliwa na kundi zima

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom