BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwani alikuwa hatoi kwa mkopo? 😜😜
Mambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..
Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.