Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

Emu malizia story ulimla au mlishindwana hyo ndo ilibidi iwe maini body,

Kingine alipiga mzinga kulingana na mapokeo yako kwenye ofa bili ya 35k si haba kuomba 20k maana bill tiari ilionesha ni pochi nene

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Wadada wengine sijui akili wanazipeleka wapi?mtu amekuita mfurahi kidogo mara unabeba kundi la watu kama unaenda fiesta????na isitoshe ni mtu mnafahamiana,ok haitoshi mnafakamia vitu kama kwenu huwa hamli(je ni ushamba au ni umjini mi ndo sijui) hivi imagine hata kama ni mimi labda kuna kitu kizuri nilikuwa nafikiria and for the first day unabehave hivo hivi ntakuconsider tena zaidi ya kuona nawe hamnazo???
 
hii sasa ndio inaitwa lost opportunity.... sasa kama 350k imeenda kwa vinywaji sii u must have well made it a cool 1 million and just have a foursome with them ladies wewe
Nilipoona foursome nikajua ni mzabzaz kaingia kwenye sekta yake
 
Wadada wengine sijui akili wanazipeleka wapi?mtu amekuita mfurahi kidogo mara unabeba kundi la watu kama unaenda fiesta????na isitoshe ni mtu mnafahamiana,ok haitoshi mnafakamia vitu kama kwenu huwa hamli(je ni ushamba au ni umjini mi ndo sijui) hivi imagine hata kama ni mimi labda kuna kitu kizuri nilikuwa nafikiria and for the first day unabehave hivo hivi ntakuconsider tena zaidi ya kuona nawe hamnazo???

Aliomba aje na frend zake nikamruhusu aje nao lengo tuenjoy tu.
 
Mambo ni vipi?

Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..

Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.

Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.

Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.

Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].

Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top

yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
hao ndiyo wanaoliwa kimasihara huko ma hostel wewe unajitutumua na mpunga wako
kupanga ni kuchagua
 
Ukiingia maeneo haya
Samaki, elements, levant, maison, havoc Ukimgusa manzi yyte ataanza na 300k kuna hadi 500k

Tips, kidimbwi wengi wanaenda wanachuo so offa zao wanaanza na 200k. Kazi kwako
 
Back
Top Bottom