Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

Umegundua kitu gani kwenye hili Gwaride la maaskari.?

View attachment 2878751
mbinu muhimu sana katika sayansi ya kijeshi ya kuwavuta na kuwapteza wajuaji kama hivi yaani 🐒

hii protocol inaitwa poteza maboya yakuone zombie yajisogeze uyaputue vizuri na hapo ni kwenye medani ya maonyesho, kwenye medani ya kivita ni tamu zaid
 
Back
Top Bottom