Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

Mmh,cjawahi ona mbinu ya kuwa na gwaride halina dressing kama hilo tena mbele ya amiri jeshi mkuu na wageni wa kimataifa.
 
Mmh,cjawahi ona mbinu ya kuwa na gwaride halina dressing kama hilo tena mbele ya amiri jeshi mkuu na wageni wa kimataifa.
🐒siku zingine utakuja kumkalia mwanajeshi ukadhani gogo kisha ukalipuka halafu sijui utasema hujawahi kuona mbinu kali kama hii 🤣

protocol za kijeshi zione na ziskie ivo ivo tu na uwaachie wennyewe
 
🐒siku zingine utakuja kumkalia mwanajeshi ukadhani gogo kisha ukalipuka halafu sijui utasema hujawahi kuona mbinu kali kama hia 🤣

protocol za kijeshi zione na ziskie ivo ivo tu na uwaachie wennyewe
Acha mkwara
 
🐒siku zingine utakuja kumkalia mwanajeshi ukadhani gogo kisha ukalipuka halafu sijui utasema hujawahi kuona mbinu kali kama hii 🤣

protocol za kijeshi zione na ziskie ivo ivo tu na uwaachie wennyewe
Hacha umbumbumbu basi,ile ni show ya kijeshi na lengo kuu tukiacha kuonyesha heshima kwa amiri jeshi mkuu pia kuonyesha ukakamavu na nidham iliyopo kwenye jeshi la wananchi.Sasa makosa ya wazi kama yale bado unayatafutia sababu ya kisiasa.
 
wewe ndie ulioelewa hivyo,

but ni protocol ya kijeshi pia kumuhadaa adui kwamba mie ni dhaifu sina utaratibu, sijajipanga na unaeeza nichapa utakavyo kama ambavyo unaniona nakosea hadi step kwahiyo usije na misilaha mizito mizito ñjoo kawaida tyuuu 🐒

ni mbinu pia Tz kuwa rated kwenye kiwango cha chini sana cha umahiri na hivyo kutokupewa kipaumbele kupeleka walinzi wa amani somewhere.....

Unaweza kusema ni mgomo wa kisayansi mbele ya sura ya kimataifa kwenda kulinda amani somewhere 🐒

bas wew unafurahiiiiii eti wamekosea 🤣
 
Hawakuelewi kwa kuwa hawaelewi. Nadharia ya kijeshi ya kuficha uhalisia wako.
Pia mbinu hii hutumika kiwasilisha hoja yao kuwa hawatumiki kisiasa yaani sio kila mtu anawaamlisha eti kufanya usafi na kuzoa taka.
Anaye situa kijoti anasend meseji kiwa "hapo ipo" by Doto mavehicle voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…