M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Angejibu mwenyewe alikuwa na maama gani, make ni vigumu kumuelewa huyu jamaa.
Hivi humu hayumo kweli?
Hivi humu hayumo kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuchukue chorus mzima:'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
Anaposema "niruhusu nisimame...nikuruhusu ulale"....Hebu tuchukue chorus mzima:
Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
Mstari wa kwanza: nusu suruale hapo inakuja baada ya kitu iliyomwodoa Ngwair (nusu saa ya mshale)
Mstari wa pili nadhani ni simple: Hapo maji maji ya dhahabu na mmea vinahusu!
nusu mshale + maji ya dhahabu + mmea + nusu suruale = Part inahamia ukubwani na baada ya part= mstari wa 3!!
Baada ya miulevi yote hiyo kinachofuata si part ya kikubwa? Part ya kikubwa nayo ishatosha, kwahiyo anaomba aruhusiwe asepe ili aliyekuwa nae kwenye part nae alale!!!Anaposema "niruhusu nisimame...nikuruhusu ulale"....
Anamaanisha nini!??
Hahahaaa... Hiyo line mi naielewa kwamba ndo anaomba game ....yani demu ajiandae na yeye asimamishe ... Amle.Baada ya miulevi yote hiyo kinachofuata si part ya kikubwa? Part ya kikubwa nayo ishatosha, kwahiyo anaomba aruhusiwe asepe ili aliyekuwa nae kwenye part nae alale!!!
NB: Tafsiri ni yangu!!
Yote kwa yote... ndo mle mle tu! Ama kipute kishapigwa au mchizi ndo anaomba go head kipute kianze!!Hahahaaa... Hiyo line mi naielewa kwamba ndo anaomba game ....yani demu ajiandae na yeye asimamishe ... Amle.
Kilaji anatumia. Ganja anatumia. Kaa mbali na HIP HOPHuu wimbo una line ngumu nyingi...
"Nusu kwenye glass nusu bob marley"
!??
Mstari wa mwisho, unamjua demu aliepigwa dongo hilo?tueleweshe kwanza hiyo line inamaanisha nini harafu ndio na sisi tuweke zetu hapa,nahisi umewaza tu matusi hapo...
kuna nyingine ya joh makini hiyo:-
"kipenda roho huzua msala,unakutana na demu mkali ila anatembea na fala"
hiyo ndio my best worst punchline ever!
Daraja Mbili na sio DARAJA HILInaskia kuna tuzo upo kwenye list.
naskia mnabebwa kwenye maplaylist
naskia mna undugu na hawa jounalist..
sijaelewa dongo la nani???
na daraja hili ngarenaro, daraja hili hawadandii masoro
(dont bother)
hapana mkuuMstari wa mwisho, unamjua demu aliepigwa dongo hilo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi hip hop huwa nasikiliza jinsi msanii anavyodondoka na biti,hizo mbwembwe zingine sikuwahi kuzifikiria.