Umeielewaje hii line ya Joh Makini ktk wimbo 'nusu nusu'?

Umeielewaje hii line ya Joh Makini ktk wimbo 'nusu nusu'?

Angejibu mwenyewe alikuwa na maama gani, make ni vigumu kumuelewa huyu jamaa.
Hivi humu hayumo kweli?
 
"Nusu saa ya mshale (nusu ya furaha) ,nusu suluale (nusu ya huzuni) , niruhusu nisimame ( nipe uhuru wangu) ,nikuruhusu ulale (nikuache upumzike). Yeaaaah keep ya head ring
Mmnhhh.... Niki wa pili yupo JF... Aje atusaidie .
 
'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.

Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.

Tusaidiane hapo.

Kama una line yeyote tata iweke hapa.
Hebu tuchukue chorus mzima:

Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale

Mstari wa kwanza: nusu suruale hapo inakuja baada ya kitu iliyomwodoa Ngwair (nusu saa ya mshale)
Mstari wa pili nadhani ni simple: Hapo maji maji ya dhahabu na mmea vinahusu!
nusu mshale + maji ya dhahabu + mmea + nusu suruale = Part inahamia ukubwani na baada ya part= mstari wa 3!!
 
Anaposema "niruhusu nisimame...nikuruhusu ulale"....
Anamaanisha nini!??
 
Anaposema "niruhusu nisimame...nikuruhusu ulale"....
Anamaanisha nini!??
Baada ya miulevi yote hiyo kinachofuata si part ya kikubwa? Part ya kikubwa nayo ishatosha, kwahiyo anaomba aruhusiwe asepe ili aliyekuwa nae kwenye part nae alale!!!

NB: Tafsiri ni yangu!!
 
Baada ya miulevi yote hiyo kinachofuata si part ya kikubwa? Part ya kikubwa nayo ishatosha, kwahiyo anaomba aruhusiwe asepe ili aliyekuwa nae kwenye part nae alale!!!

NB: Tafsiri ni yangu!!
Hahahaaa... Hiyo line mi naielewa kwamba ndo anaomba game ....yani demu ajiandae na yeye asimamishe ... Amle.
 
Hahahaaa... Hiyo line mi naielewa kwamba ndo anaomba game ....yani demu ajiandae na yeye asimamishe ... Amle.
Yote kwa yote... ndo mle mle tu! Ama kipute kishapigwa au mchizi ndo anaomba go head kipute kianze!!
 
mombasa wananiitaga bahasha,we wanakuitaga ASHA,young D,ujanja ujanja,
 
tueleweshe kwanza hiyo line inamaanisha nini harafu ndio na sisi tuweke zetu hapa,nahisi umewaza tu matusi hapo...
kuna nyingine ya joh makini hiyo:-
"kipenda roho huzua msala,unakutana na demu mkali ila anatembea na fala"
hiyo ndio my best worst punchline ever!
Mstari wa mwisho, unamjua demu aliepigwa dongo hilo?
 
naskia kuna tuzo upo kwenye list.
naskia mnabebwa kwenye maplaylist
naskia mna undugu na hawa jounalist..

sijaelewa dongo la nani???

na daraja hili ngarenaro, daraja hili hawadandii masoro
(dont bother)
Daraja Mbili na sio DARAJA HILI
 
Mi hip hop huwa nasikiliza jinsi msanii anavyodondoka na biti,hizo mbwembwe zingine sikuwahi kuzifikiria.
 
Naskia unaandikiwa na NIKI!!

Sijui hiyo kalamu mi naandikiaga BIKI!!
 
habari ipo kwenye confidence ya TID sasa Joh ndio anatupia ka line haka hapa

nikiwa sina au nikiwa nacho
nalala usingizi silali macho,
hata kama si ingizi unalala nacho🙂
 
Back
Top Bottom