Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #21
Na alikuwa na mashamba mengi sana vile hakusomesha Watoto wake waliomba awagawie urithi kabla hata hajafa na alipowagawia tu wengi waliuza na yeye kubaki na shamba kidogo sana na akauza piaHili ni tatizo kubwa, ukikutana na mzee anaishi maisha magumu lazima tu alikuwa anashughulika na chini ya wanawake enzi zake
Hakika mkuujuhudi, misimamo, imani na bidii tunazoweka kwenye kutafuta watoto kama mkakati wa uwekezaji kwa ajili ya uzee, tuweke pia kwenye kutunza pesa
kinachosaidia uzeeni ni pesa kwa kweli, pesa ya kujikimu na matibabu
Huyo ategemee angukoHuku kwetu naona wastaafu wanavuta pisi moja ndogondogo wanaweka ndani. Duh! Nawataman mbaya mbovu...
Hii ndio shida mkuuNa alikuwa na mashamba mengi sana vile hakusomesha Watoto wake waliomba awagawie urithi kabla hata hajafa na alipowagawia tu wengi waliuza na yeye kubaki na shamba kidogo sana na akauza pia
Hizo kesho, kesho kutwa ni illusion tu wala haina uhalisia na ipo kwenye fikra tu , na ni kitu tuliunda tu ili tupangilie mamboNdio ishi leo maana ya kesho huyajui, principle ya maisha ni kuishi leo, sio jana wala kesho, namna unavyoishi leo ndio itaonyesha picha kesho itakuaje, ukiishi kesho itakushughulisha sana sana
Ndicho nacho kiwaza Kila Leo hiki.ila kujiandaa uzeeni ni muhimu hii itawapa afadhari watoto wako na watu wengine wa karibu,kuwa mzee haina maana uje uwe tegemezi kwenye kila kitu watoto wako watakuwa na majukumu yao kulea familia zao,nakuwafanya watoto wao wafikie ndoto zao.
si utamaduni sana kwa familia zetu zakiafrika kusingatia hichi kitu ila ni wajibu wa mzazi kuhakikisha mtoto anakuwa salama toka siku umemzaa mpk siku unaaga dunia mtoto wako anatakiwa awe proud kuwa alikuwa na mzazi ambae hakuwa tu na fikra za kufikiri kila mtoto ni wajibu kumsaidia mzazi!,na kama wazee walikuwa masikini hivyo ni jukumu la watoto kuja kukutoa kwenye hilo dimbwi..
inatakiwa tupambane watoto waje wale raha,wakue vyema,waone maisha ktk namna tofauti nao wakawajibike kwa watoto wao.
Kwahiyo kesho haipo mkuu ama sijakuelewa?Hizo kesho, kesho kutwa ni illusion tu wala haina uhalisia na ipo kwenye fikra tu , na ni kitu tuliunda tu ili tupangilie mambo
kutokujua kuwa utaufikia sio sababu yakutokujipanga maana hata ukijiwekea ki akiba chako na usifikie uzee watakula watoto wako so hujapoteza bilabila...mkuu huo uzee wenyewe una hakika wa kuufikia?
Wapo ila ukiishi sasa vizuri hata sasa yako tena itakua nzuri . Sasa kila siku ukiishi ukiwaza kesho kesho ikifika ukawaza kesho kutwa na hivyo hivyo bila mwisho, lini utaishi sasa yako?K
Kwahiyo kesho haipo mkuu ama sijakuelewa?
Kwenye jamii Yako huoni wazee wakitaabika na kuteseka?
Na ukiacha sasa ikafika hiyo kesho utaiacha pia ili kuitafutia kesho kutwa na hiyo kesho kutwa utaiacha pia na kuendelea, lini utaishi sasa?Kwahiyo tuiache kesho ijitafutie yenyewe mkuu?
🤔 umewaza nnHili ni tatizo kubwa, ukikutana na mzee anaishi maisha magumu lazima tu alikuwa anashughulika na chini ya wanawake enzi zake
Tuombee uzima na afya tu jamaa yangu. Uzeeni ni kubaya sana. Hata hivyo Huwa hukai karibu na wazee kuchota mawili matatu ndo utakubaliana NamiWapo ila ukiishi sasa vizuri hata sasa yako tena itakua nzuri . Sasa kila siku ukiishi ukiwaza kesho kesho ikifika ukawaza kesho kutwa na hivyo hivyo bila mwisho, lini utaishi sasa yako?
Wazo lako liwekewe lamination. Umenena vyema sana.Ni wazo zuri kuja na hoja fikirishi ya namna hiyo;
Uzee unatisha
Uzee unaambatana na upweke pamoja na changamoto za kipato pamoja na maradhi.
Ni vyema kujiandaa na Uzee ukiwa bado una nguvu
Binafsi najitahidi kulinda afya Kwa kuepuka tabia hatarishi ambazo Kwa namna Moja ama nyingine zinaweza kuhatarisha afya Kwa kuleta magonjwa ya Uzeeni.
Pili nimeanza kujiwekeza, Kwa kufanya miradi itakayokuwa inaniingizia hela hata wakati wa Uzee.
Nisingependa kuwa Mzee msumbufu Kwa watoto wangu.
Niko mbioni kujikatia bima ya maisha, japo ni ghali lakini nitakata kwaajili yangu na Mke wangu
Uzee lazima uje ila ukiishi sasa vizuri hata hiyo sasa yako ya uzee itakapo fika sioni kama utapata shida.Tuombee uzima na afya tu jamaa yangu. Uzeeni ni kubaya sana. Hata hivyo Huwa hukai karibu na wazee kuchota mawili matatu ndo utakubaliana Nami
Kuishi vizuri bila kuweka akiba huko uzeeni utaishiji?Uzee lazima uje ila ukiishi sasa vizuri hata hiyo sasa yako ya uzee itakapo fika sioni kama utapata shida.
Kila kitu kipo wakati uliopo yaani sasa hata akiba itawekwa sasa😊Kuishi vizuri bila kuweka akiba huko uzeeni utaishiji?
Kama ni hivyo ni sawa kikubwa lazima utazamie na yajayoKila kitu kipo wakati uliopo yaani sasa hata akiba itawekwa sasa😊
Pale kati ni chanzo cha migogoro ukipaendekeza na unajua kiafrika Afrika mwanaume anapambana kutafuta hela ili apate mwanamke mzuri au kumfanya mwanamke akae asiondoke mwisho wa siku ni kuangukia pua🤔 umewaza nn
Sahihi kabisa... ukitumia ubo"0 kuchagua mke lazima yakupate ya kukupata tuPale kati ni chanzo cha migogoro ukipaendekeza na unajua kiafrika Afrika mwanaume anapambana kutafuta hela ili apate mwanamke mzuri au kumfanya mwanamke akae asiondoke mwisho wa siku ni kuangukia pua