Umejiandaaje na anguko la Uchumi Duniani baada ya Corona

Umejiandaaje na anguko la Uchumi Duniani baada ya Corona

Gai da seboga

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
515
Reaction score
1,015
Wasalamu wana JF...

Natumai ni wazima na mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya virusi hivi vya corona vinavyoitesa dunia kwa sasa.

Je ushawahi kaa ukawaza anguko kubwa la uchumi linalokuja baada ya corona!!?

Hii Corona ni kama upepo tu lakini huu mwaka hatuwezi kukwepa GREAT RECESSION. Kirusi kina athari ndogo sana kulinganisha na economics crisis inayofuata baada ya Corona. Soko la hisa la US mpaka sasa limeanguka kwa 24% in less than 2 months. Makampuni yamefunga, wafanyakazi wapo nyumbani, watu wanapunguzwa ajira, hakuna economic activities

Dunia ni kama imesimama, hakuna mzunguko wa pesa, unemployment rate imeongezeka maradufu, Hakuna uwekezaji, hakuna uzalishaji, hakuna consumer spending. Dunia nzima inaosha mikono tu, uchumi umelala. Kama Corona ikigonga na hali ikawa hivi mpaka June, basi tutashuhudia one of the worst ECONOMIC CRISIS in human history.
 
Kwani pesa zinaenda wapi mzazi, hii sio vita ya mechanic hamna uharibifu wa property, pesa zipo kwa watu maisha yakianza upya uwekezaji unaanza upya kwa kasi, mambo yatasimama kama corona itaendelea kushika kasi
 
Wewe umenifanya nicheke
Kama mtu umekuwa ukipita unaona wakulima wakilima sasa sahivi anza kujiona wewe! Korona inapotupeleka si tena kugombania hela bali chakula!

Siku utamuona MOPAO a.k.a jiwe anasema kodi sahivi ni kulipa mchele ama mahindi au mtama ikibidi makomamanga! Faini mtu unaambiwa kalete sungwi mia! Kuzipata sasa hilo tu unakuta unatumia miezi mitatu😂😂
 
Mimi uchumi wangu hauwezi kuanguka zaidi ya hapa nilipo, upo shimoni, naona labda tutaongezeka mafukara tulio shimoni
 
Kwani pesa zinaenda wapi mzazi,hi sio vita ya mechanic hamna uharibifu wa property ,pesa zipo kwa watu maisha yakianza upya uwekezaji unaanza upya kwa kasi, mambo yatasimama kama corona itaendelea kushika kasi
una hoja nzuri sana sema ungedadavua kiundani zaidi ingependeza mkuu
 
Kwani pesa zinaenda wapi mzazi,hi sio vita ya mechanic hamna uharibifu wa property ,pesa zipo kwa watu maisha yakianza upya uwekezaji unaanza upya kwa kasi, mambo yatasimama kama corona itaendelea kushika kasi
Et uwekezaj unaanz upya kwa pesa zipi??? Nchi zinaingia mikopo mikubwa sasahv ktk kukabaliana na corona, mikopo ambayo haizalishi kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom