didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
wangu mbahili ila ana huruma sana ndo udhaifu wake kumbe na mimi napitia humohumo hawezi niona naumwa alafu anjambie maswala ya ada sijui matumizi yuko na huruma sana ila pole sana kaka kama wakwako hana hurumaWe kama mke umepata mshukru Mungu
Me hata niumwe hilo jukumu nitalikuta linanisubiri
Anaumwa huyo ajizalishe mwenyeweLa mama Kuna mtu kaanzisha uzi eti umemzalia mapacha ,Nimelia Kama nguruwe japo machozi hayatoki .
Je ni kweli ? Sema neno mwaka nijue naumaliza salama au unanimaliza salama
kumbe muongo yule dogo nikamind maan kuna siku nilitaka nikupeleke Waikiki ukazinguaAnaumwa huyo ajizalishe mwenyewe
We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......kumbe muongo yule dogo nikamind maan kuna siku nilitaka nikupeleke Waikiki ukazingua
Kwenye kikao Cha mwisho wa mwaka Cha wanaume .Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
Mimi ni mwingine kabisa ila vipi upo tayar nikupeleke Waikiki?We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......
Ni nani huyo? Sijaona possible yupo kwenye ignore list
Unasubiri nini kulipeleka hilo jina? Nani kakwambia najisifia?Kwenye kikao Cha mwisho wa mwaka Cha wanaume .
Mwenyekiti amelalamika Sana kuwa Kuna wanaume wanashusha heshima yetu kwa nguvu na sio muda tukiwakamata tutawafukuza kwenye chama chetu watajua wanaenda wapi .
Hapa nimegundua wewe inabidi uwe mmoja wa wataotimuliwa ,wacha nitume jina kwa chair ,huwezi kwepa majukumu alafu kujisifia hapa
Ahsante Mungu ๐๐We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......
Ni nani huyo? Sijaona possible yupo kwenye ignore list
Jiulize kwanini kakuuliza wewe Kama ni Mimi ? Ndugu mke wa mtu sumu nitakukata kichwa na miguuMimi ni mwingine kabisa ila vipi upo tayar nikupeleke Waikiki?
We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......
Ni nani huyo? Sijaona possible yupo kwenye ignore list
Eeeh mapenzi yamekuja na christmass haya...Ahsante Mungu ๐๐
Kumbe Evelyn Salt unanipenda na unajua hapa jamvini Mimi ndiye mtu wako .
Ahsante ubarikiwe ,Mimi nina I'd moja nayo ni hii sio ya huyo anayekufosi kuchepuka sijui mwende muikiki
Ntumie hiyo hela niende mwenyewe bro ๐นMimi ni mwingine kabisa ila vipi upo tayar nikupeleke Waikiki?
Zama PM mama lazima nitume Mimi ,ya January yatajulikanaEeeh mapenzi yamekuja na christmass haya...
Basi ntumie hela nikasuke
poa naomba namba ya kupokeleaNtumie hiyo hela niende mwenyewe bro ๐น
Utoto raha sanaaa.Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio