Umejiandaaje na ugumu wa January?

Umejiandaaje na ugumu wa January?

Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
Kwenye kikao Cha mwisho wa mwaka Cha wanaume .
Mwenyekiti amelalamika Sana kuwa Kuna wanaume wanashusha heshima yetu kwa nguvu na sio muda tukiwakamata tutawafukuza kwenye chama chetu watajua wanaenda wapi .
Hapa nimegundua wewe inabidi uwe mmoja wa wataotimuliwa ,wacha nitume jina kwa chair ,huwezi kwepa majukumu alafu kujisifia hapa
 
Unasubiri nini kulipeleka hilo jina? Nani kakwambia najisifia?
 
We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......

Ni nani huyo? Sijaona possible yupo kwenye ignore list
Ahsante Mungu 🙏🙏
Kumbe Evelyn Salt unanipenda na unajua hapa jamvini Mimi ndiye mtu wako .
Ahsante ubarikiwe ,Mimi nina I'd moja nayo ni hii sio ya huyo anayekufosi kuchepuka sijui mwende muikiki
 
We ni menemene au nawe ni mwingine tena, mmecharuka.......

Ni nani huyo? Sijaona possible yupo kwenye ignore list
 
Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
Utoto raha sanaaa.
 
Back
Top Bottom