didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
wangu mbahili ila ana huruma sana ndo udhaifu wake kumbe na mimi napitia humohumo hawezi niona naumwa alafu anjambie maswala ya ada sijui matumizi yuko na huruma sana ila pole sana kaka kama wakwako hana hurumaWe kama mke umepata mshukru Mungu
Me hata niumwe hilo jukumu nitalikuta linanisubiri