Umejiandaaje na ugumu wa January?

Mganga wangu hii wiki haiishi, atafurahi 😹 ngoja nimuombe acc namba
πŸ˜€πŸ˜„πŸ€£
Toa sadaka ya kujimaliza kwangu
Nimekupambania kwenye ulimwengu wa roho Sasa nyota yako inang'ara
 
Same old song, mambo yanakuwa magumu but on february milngo unalainika
 
Nmeandaa fungu,
Kwa wale waliofulia ili ninunue bidhaa zao Kwa Bei rahisi
 
Mimi sitegemei ugumu endapo Afya ikiwepo.

Maana hela nilizosave zinanitosha kutumia miaka 3-5 Kama sijaumwa wala kupata tatizo lolote kubwa .

Apa nazungumzia
Kula
Bills
Ada
N.k

Kuhusu mambo mengine nipo na BIMA pia
 
Uko vyema kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…