Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali 😂Mchepuko upo Moshi unahitaji nauli kurudi town
Same old song, mambo yanakuwa magumu but on february milngo unalainikaJanuary au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024
We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon
1. Ada ya shule ni January
2.Kodi za frem January
3. Kodi ya TRA January
4. Mchepuko upo Moshi unahitaji nauli kurudi town
5. Bidhaa zinapanda bei January
Ongezea........
Atapata liftiPambana shemeji arudi mjini
Wapo wengiUmeamua kumpoteza
Una mikakati mizuri Sana nduguKabla ya sikukuu, huwa nahakikisha nalipa vitu vya msingi kama karo, kodi na mambo ya msingi.
Ikifika january naweza kuwa sina pesa lakini mambo ya msingi yanakwenda.
Nawazoom tu watu watakavyouza vitu kwa bei ya hasara January
January sio poa chai hazipikwi asubuhi, kunakuwa na depression
Sasa unakua na mmoja ni mama mzazi huyo ?Aisee
Uko vyema kamandaMimi sitegemei ugumu endapo Afya ikiwepo.
Maana hela nilizosave zinanitosha kutumia miaka 3-5 Kama sijaumwa wala kupata tatizo lolote kubwa .
Apa nazungumzia
Kula
Bills
Ada
N.k
Kuhusu mambo mengine nipo na BIMA pia
Hapana, ni kujipanga tu,Hii haina mbabe isipokuwa wachache tu.
Majority tutatoa milio sawia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawazoom tu watu watakavyouza vitu kwa bei ya hasara January