Investment kwa maana ya uwekezaji. Katika matumizi yoyote unayoweza kufanya unaweza kuyagawa katika makundi kadhaa, kama matumizi ya chakula/basic needs, ada za watoto shule, leisure/starehe n.k. Sasa ukiangalia zaidi utaona kuwa matumizi hayo bado hapo unaweza kuyagawa katika categories mbalimbali mfano matumizi ya ada ya watoto kwaajili ya elimu yao, unaweza ona kuwa ni investment kwaajili ya maisha yao na ukatofautisha na matumizi kama ya leisure/starehe. Issue hapo ni kuwa hata kama tunachukulia kuwa kosomesha watoto investment, basi iwe investment kwa maisha yao ya baadae na sisi wazazi hatupaswi kuitegemea 100% kwamba kesho au keshokutwa tutakapokuwa wazee basi mtoto/watoto ndio watakao tutunza. bali tunatakiwa tuwe na other means za ku-sustain our livelihood. That's the meaning ya hiyo argument yangu hapo juuUnamaanisha nini unaposema unasomesha mtoto kama investment ?
USIMTEGEMEE MWANADAMU ( hii inaenda hadi kwa watoto na wazazi wako)
Mtegemee Mungu peke yake
Usisomeshe kwa lengo la kuja kusaidiwa baadae bali somesha kwa lengo ka hao Watu wajitegemee mbeleni!
Ukianza kuwaza kuwategemea unaowasaidia leo USHAFELI TAYARI!
Ujamaa Tanzania ulikufa zamani kwa Viongozi wetu na sasa unakufa kwa Grassroots!
Nchi ya Kibepari haina Misamiati eti Ndugu zangu!
Ni Mimi ni Mimi na Mungu wangu full stop!
Unapotoa unatoa kusaidia Siyo kwa lengo la Kusaidiwa Baadae!
Usijifunze kujitegemea Bali JITEGEMEE!
Unahitaji mambo mawili tuu kusurvive
1. Akili imara yenye akili
2. Uwezo wa Kuzisaka na kujiwekea hazina kiuchumi
Ukitaka akili Tafuta na Soma hivi vitabu
1 48 laws of power
2. 33 strategies of War
Ukiweza kujisimamia Utasimamia kwa akili na kilicho chako
Iβm Out!
Banae hakuna kuficha huyo kijana anala kujibu aje hapaSubiri uone malipo ya huyo Kijana.
Bibi anamakosa yake, (simhukumu)
Kijana naye anamakosa yake (simhukumu)
Banae ivo ivo tuu!! muwe mashujaaa!! ukipewa sawa ukinyimwa sawa ukitengwa sawa weyye songa mbele kivovio tu hakuna kumlaumu wala kumlaani mtu yeyote!!
haya mambo ukiyaweka akilini saana utaumia tu!
Katika maisha usimtegemee binadamu Kwanza kumtanguliza mungu na kufanya kaz kwa bidii bt maisha huwa tunategemeana kupeana riziki lakini usimtegemee mwanadamu aendeshe maisha yako yeye Leo yupo kesho hayupo utapata shida Sana na mifano hai tumeiona