Umejiandaje kusoma bila boom.

Umejiandaje kusoma bila boom.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Vijana wengi ambao wanatarajia kujiunga na elimu ya wanategemea mkopo ili kuweza kusoma, sasa wewe kijana unaesubiri mkopo umejiandaa vipi endapo utakosa?
 
Naacha chuo napiga part-time...matokeo tayari ninayo kwanini nibabaike kuwasumbua ndugu na majirani
 
daa!noma xna! na inaumiza kwan ackudanganye m2 kusoma bla boom unaweza kata tamaa ya kusoma! kwanza utakuwa alwayz uko c2recd na saicologcally unaweza fel masom kwan muda wte utawaza wap utoe ada, stationery hasa zktolewa endout na hapo ndo panaumiza!
 
uandishi wako haufai
 
Ndugu zangu boom is not necessary for survival of a student kwa university. I never had no boom from no government and my folks weren't wealthy but still survived and it rose my anger towards achieving academic excellence and get the hell out of that place. Imagine sometimes you go back home on weekend and your father tells you that he has no money at that time and see your siblings are chased out of school for not paying school fees. Unarudi chuo with nothing in ur pockets lakini kwa kuunga unga unaishi hivyo hivyo till I graduated. Ukizaliwa mwanaume learn how kuvumila shida.
 
wape njia/mbinu ulizokuwa unatumia kusoma ukiwa na hali ngumu na ukata.
 
Boom lina umuhimu hasa kwa watoto wa wakulima ila kama home wapo vizuri unaweza kupiga kitabu 2
 
daa!noma xna! na inaumiza kwan ackudanganye m2 kusoma bla boom unaweza kata tamaa ya kusoma! kwanza utakuwa alwayz uko c2recd na saicologcally unaweza fel masom kwan muda wte utawaza wap utoe ada, stationery hasa zktolewa endout na hapo ndo panaumiza!

Naomba mtu anisaidie kutafsiri hii kwa Kiswahili ili na mimi nishiriki katika mjadala!
 
Ndugu zangu boom is not necessary for survival of a student kwa university. I never had no boom from no government and my folks weren't wealthy but still survived and it rose my anger towards achieving academic excellence and get the hell out of that place. Imagine sometimes you go back home on weekend and your father tells you that he has no money at that time and see your siblings are chased out of school for not paying school fees. Unarudi chuo with nothing in ur pockets lakini kwa kuunga unga unaishi hivyo hivyo till I graduated. Ukizaliwa mwanaume learn how kuvumila shida.

na ukizaliwa mwanamke je?
 
unaonaje kama ungekuwa unatumia lugha moja hasa lugha yako ya Taifa(kiswahili)..
 
daa!noma xna! na inaumiza kwan ackudanganye m2 kusoma bla boom unaweza kata tamaa ya kusoma! kwanza utakuwa alwayz uko c2recd na saicologcally unaweza fel masom kwan muda wte utawaza wap utoe ada, stationery hasa zktolewa endout na hapo ndo panaumiza!

maandishi yako yanatusaidia kujua ubora wa elimu yako..
 
Tatizo munaongea kiushabiki hapa kama mungejua hali halisi ya watanzania hata musinge changia kwamba kama mtu una boom usome kwa kukomaa kuna familia hawana uwezo kabisa mtu atakomaaa vipi?kipindi nasoma mkopo ukichelewa hali huwa mbaya sana kiasi kwamba wanafunzi wanaanguka na njaa ,wanashindwa kufanya research,presentation,nk kuna jamaa alipiga simu nyumbani ili wauze hata mifugo ili wamtumie pesa ya kula ila baba yake alilia sana na kusema mifugo yote imeizwa ili kuinusuru wadogo zake ili wasife na njaa kama alivyokufa mdogo wake wa mwisho!jamaa alizimia ilibidi wanafunzi wamchangie pesa pamoja na serikari ya chuo....daaa nimeshindwa kuimalizia hii habari kwani maona uzuni sana hasa nikimkumbuka jamaaaa
 
Cha msingi heslb ingekuwa inawahi kutoa majina ya walopata mkopo kabla vyuo havijafunguliwa ila wale watakaokosa waone namna ya kujipanga mapema,lakini kwa hali ilivyo inakuwa ngumu sana mtu kusoma bila boom hivyo wengi hawaripoti
 
Tatizo munaongea kiushabiki hapa kama mungejua hali halisi ya watanzania hata musinge changia kwamba kama mtu una boom usome kwa kukomaa kuna familia hawana uwezo kabisa mtu atakomaaa vipi?kipindi nasoma mkopo ukichelewa hali huwa mbaya sana kiasi kwamba wanafunzi wanaanguka na njaa ,wanashindwa kufanya research,presentation,nk kuna jamaa alipiga simu nyumbani ili wauze hata mifugo ili wamtumie pesa ya kula ila baba yake alilia sana na kusema mifugo yote imeizwa ili kuinusuru wadogo zake ili wasife na njaa kama alivyokufa mdogo wake wa mwisho!jamaa alizimia ilibidi wanafunzi wamchangie pesa pamoja na serikari ya chuo....daaa nimeshindwa kuimalizia hii habari kwani maona uzuni sana hasa nikimkumbuka jamaaaa

inasikitisha kiukweli.
 
Huwezi pgana vita ukiwa na njaa,elimu ni vita bila boom kwa wasio na uwezo "PATUPU".
 
Ndugu zangu boom is not necessary for survival of a student kwa university. I never had no boom from no government and my folks weren't wealthy but still survived and it rose my anger towards achieving academic excellence and get the hell out of that place. Imagine sometimes you go back home on weekend and your father tells you that he has no money at that time and see your siblings are chased out of school for not paying school fees. Unarudi chuo with nothing in ur pockets lakini kwa kuunga unga unaishi hivyo hivyo till I graduated. Ukizaliwa mwanaume learn how kuvumila shida.

uo ndiyo ukidume,iyo hali ndugu ilinitokea namimi o-level form 3+4 na advance form 5 nlikuwa narudishwa darasan na mwenzangu mmoja,yaan wawil tu,lakn mungu alisaidia nkamaliza baada ya kufika form 6 na kulipa ada kikamilifu.mungu tumshukuru na tupate boom hata asilimia ndogo poa tu.
 
Tatizo munaongea kiushabiki hapa kama mungejua hali halisi ya watanzania hata musinge changia kwamba kama mtu una boom usome kwa kukomaa kuna familia hawana uwezo kabisa mtu atakomaaa vipi?kipindi nasoma mkopo ukichelewa hali huwa mbaya sana kiasi kwamba wanafunzi wanaanguka na njaa ,wanashindwa kufanya research,presentation,nk kuna jamaa alipiga simu nyumbani ili wauze hata mifugo ili wamtumie pesa ya kula ila baba yake alilia sana na kusema mifugo yote imeizwa ili kuinusuru wadogo zake ili wasife na njaa kama alivyokufa mdogo wake wa mwisho!jamaa alizimia ilibidi wanafunzi wamchangie pesa pamoja na serikari ya chuo....daaa nimeshindwa kuimalizia hii habari kwani maona uzuni sana hasa nikimkumbuka jamaaaa

"life is not fair"bill gates
 
Back
Top Bottom