Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao

acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
Baadhi ndio wameolewa je umewahi kuangalia namna wanavyoishi kwenye ndoa zao?
 
U single mama deal, anawapanga vidume km watano hv ,jumlisha baba mtoto wa sita , wote mnamuhudumia bila kujua
 
Huu usia binti yng akianza kujitambua nimepanga kumkalisha chini na kumpa
 
Sasa nikisema ukipata form 4 zero uwezekana wa kuwa jaji mdogo sana ni ninakuumiza au nakwambia ukweli.

Hakuna mwanaume aliekamilika na kapangilia maisha yake anataka kuwa na single maza .binadamu anapenda vizuri .
uzazi ni tofauti na mengine
 
Daktari hii comment yako inachoma sana....,na huo ndio ukweli!
Hahahaha ifike mahali tuambiane Ukweli. Watu wengi hawasemi Ukweli na ndio wanadanganya vijana wetu.

Utamskinia mtu kwenye Social Media eti I am Happy with My Lie......wakati sio kweli.
 
Sidhani hata kama wanakusiliza, mie nadhani single maza wao hawana shida kabisa cz si anajijua yuko na nini alifanya

Shida iko kwetu kuwaona wao wamekosea kumbe mtu alipanga kuzaa
Basi endelea kuamini hivyo hivyo.

Na mimba nyingi za Single mother ni wale wanaosema ' usinibabaishe nikizaa ntalea"

Ngoja sasa yamkute.

Hapa nyuzi za single mothers ni nyingi kwa sababu ishakuwa Public Problem.
 
Nilichogundua huwa hawafikirii mbali. Yaani wanajiaminisha kuliko kiasi. Nilidate na mdada fulani wakati huo ndio najitafuta. Basi yaani huwezi amini mimi ndio nilikua nazijua days zake kuliko hata mwenyewe. Najua lini date danger. Ila yeye anapuyanga tu kisa kafa kaoza.
Siku amekonsiv ndio anaanza nijitambulishe kwao mara oh ushaniharibia maisha.
Kimoyoni nikajisemea si mimi wakupelekeshwa hivi.
Nilimtema kweupe na mimba yake.
 
Mzee ukamtema? Ulikosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…